Rais Samia aagiza Darasa la Saba waliofutwa kazi walipwe stahiki zao

Mi kwa mtazamo wangu naona kama angewaacha waliokuwa kwenye system, halafu ahakikishe hakuna mpya anayeingia na cheti feki.

Na pia kulipwa stahiki zao ni sahihi maana ni pesa yao, Mambo mengine yanataka busara sio pupa.
 
Pesa zao zipi wakati wameiba vyeti na taaluma feki?

MAJIZI? WEZI? WALIPWE!

Eti fedha zao! zipi?
 
Ni Tanzania pekee mtu anaweza kuwa na PhD fake na bado akawa rais wa nchi, kichekesho eti na yeye akawa anapambana na vyeti fake!
 
Mleta mada huna lolote. Hapa umepindisha hoja tu Lakini lengo lako ji kujaribu kulinda legacy ya yule mwendawazimu aliyekosa utu na kujitwika unyama akaamu kuwa muuaji, mtekaji na mpora fedha za watu.

Sukuma gang OG wewe. Njoo kivingine wenye akili tumekustukia.

Mama ameigalagaza legacy ya yule Mungu wenu wa Chato.
 
Nafikiria hivi. Mtu amekuibia kamera; akaenda kupiga picha nzuri tu. Je ukimkamata nayo utamwambia akatoe picha alizokiwisha piga akurudishie kamera yako au utaichukua kwa nguvu bila kujali alishapiga picha ngapi.
 
Ni fedha walizokuwa wanakatwa kwenye mishahara yao, hivyo ni zao.
Mishahara ya wizi iliyotokana na taaluma ya wizi??

Upumbavu! Majizi yanalipwa badala ya kusota jela! Duuh! Nchi ya kibwege hii!

Kuanzia Rais mpaka wananchi ni MATABURALASA.

Majizi yanalipwa! Eti Ruzuku! LAHAULAH!
 
sexless[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41] mnufaika mkuu wa mfumo wewe unawaza legacy na sukuma gang sisi tunasema uhalisia uliopo! subiri mama akose fedha za kulipa watumishi wa umma ndiyo uendelee kuniita sukuma gang bahati nzuri alushasema serikali kibubu kimeisha wewe endelea na mapambio yasiyokuwa na msingi kwa kuniita sukuma gang lamba asali ni wakati wako.
 
Kwahiyo unasuburi kulipwa RUZUKU YA VYETI FEKI!? LAHAULAH!

Vilaza mnatamba sana hii awamu!

Mnalipwa ruzuku ya kuiba vyeti!! Yesuuu na Maria!
 
Hivi umeolewa kweli?
 
sexless anamalipo yake hapa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] maana povu limemtoka hata mada hajaielewa amekuja na maneno ya sukuma gang[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji116]
 
Kuna jamaa yangu mama yake wa kambo kakomba zaidi ya 300 million wakati wasimamizi wa mirathi wawili.

Kwaiyo Tanzania kugushi kama fasheni na kuna wanufaika wa kugushi.
 
Ni Tanzania pekee mtu anaweza kuwa na PhD fake na bado akawa rais wa nchi, kichekesho eti na yeye akawa anapambana na vyeti fake
 
Reactions: ovi
Jamani ni pesa za kwenye mifuko ya kijamii walizokuwa wanakatwa .....kumbuka ni jasho lao
 
Mi kwa mtazamo wangu naona kama angewaacha waliokuwa kwenye system, halafu ahakikishe hakuna mpya anayeingia na cheti feki.

Na pia kulipwa stahiki zao ni sahihi maana ni pesa yao, Mambo mengine yanataka busara sio pupa.
Busara unambusaria mwizi tumia akili kuwaza walivyokula vinawatosha waridhike na afadhari Kuliko kutaka zaidi
 
Mi kwa mtazamo wangu naona kama angewaacha waliokuwa kwenye system, halafu ahakikishe hakuna mpya anayeingia na cheti feki.

Na pia kulipwa stahiki zao ni sahihi maana ni pesa yao, Mambo mengine yanataka busara sio pupa.
Jela Sio haki Yao au tuwalipe alafu tuwafunge basi hii unaionaje mkuu

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Nafikiria hivi. Mtu amekuibia kamera; akaenda kupiga picha nzuri tu. Je ukimkamata nayo utamwambia akatoe picha alizokiwisha piga akurudishie kamera yako au utaichukua kwa nguvu bila kujali alishapiga picha ngapi.
Unauhakika gani ni picha nzuri wakati ni taifa maskini na hao ni kati ya waliokuwa wanauboresha huo umaskini katika ofisi za umma [emoji3]

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Nina wasiwasi Erythrocyte naye alighushi cheti cha form four, kutokana na kutetea huu uozo
 
Mi kwa mtazamo wangu naona kama angewaacha waliokuwa kwenye system, halafu ahakikishe hakuna mpya anayeingia na cheti feki.

Na pia kulipwa stahiki zao ni sahihi maana ni pesa yao, Mambo mengine yanataka busara sio pupa.
Kwa stahiki zao zipi wakati waliingia kimakosa? Kuna watu walikosa kazi wakati wana vyeti halali, hivyo feki waliwazibia iweje walipwe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…