Mwanakwetuuu
JF-Expert Member
- Apr 8, 2022
- 1,011
- 2,283
Kitabu cha Guinness kinawahusu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa zao zipi wakati wameiba vyeti na taaluma feki?Mi kwa mtazamo wangu naona kama angewaacha waliokuwa kwenye system, halafu ahakikishe hakuna mpya anayeingia na cheti feki.
Na pia kulipwa stahiki zao ni sahihi maana ni pesa yao, Mambo mengine yanataka busara sio pupa.
Uongozi wa serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzania kuweni na aibu wakati mwingine hivi unawezaje kumlipa mtu ambaye alikuibia ? kama ni msamaha mliwasamehe kwa kuwafuta kazi maana yake ni kwamba mshahara waliokuwa wanapata kupitia ajira ya vyeti hivyo mliona unatosha na kuwafuta kazi.
iweje leo watu walioghushi vyeti na kuibia serikali walipwe pesa za umma ! Raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania asifikri kulipa malipo hayo ni sifa bali atakuwa amejichafua mwenyewe hii itamaanisha hakuna umakini uliopo katika serikali anayoiongoza.
kuna tetesi kuwa yale ma vyeti ya posta kila mtu ananunua kwa wakati wake na wa nunuzi wakuu ni watu ambao walishapata ajira serikalini na hununua waliowengi ili waweze kupanda madaraja kulingana na elimu zao kwa sasa kila mtu anakula kulingana na urefu wa kamba yake.
Baada ya kuielewa ccm vyema na serikali kwakweli hata mimi nimeona nianze kujiongeza kwa baadhi ya mambo ili mradi nisije kupata tatizo lolote.
nchi hii ukijifanya mzalendo wa kila kitu utakufa masikini.
Ushahidi mkubwa nilioona ni pale mwenyekiti wa chama cha ccm na raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania ambao alianza kutukana wakosoaji wake ndani ya chama kwa kusema mtu anayejuwa itikadi za chama hawezi kuleta nongwa hii alimaanisha hataki watu wakosoe mabaya yanayofanyika ndani ya nchi hasa ukiwa ndani ya ccm, sasa ajue kuwa nchi hii siyo miliki ya ccm ataondoka ataiacha na hawezi juwa ni viongiozi gani watakuja asishangae akaitwa mahakamani kwa makosa aliyoyafanya akiwa raisi, lipa vyeti feki hiyo haifutiki siku moja utaulizwa maswali.
Ni fedha walizokuwa wanakatwa kwenye mishahara yao, hivyo ni zao.Pesa zao zipi wakati wameiba vyeti na taaluma feki?
MAJIZI? WEZI? WALIPWE!
Eti fedha zao! zipi?
Mishahara ya wizi iliyotokana na taaluma ya wizi??Ni fedha walizokuwa wanakatwa kwenye mishahara yao, hivyo ni zao.
sexless[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41] mnufaika mkuu wa mfumo wewe unawaza legacy na sukuma gang sisi tunasema uhalisia uliopo! subiri mama akose fedha za kulipa watumishi wa umma ndiyo uendelee kuniita sukuma gang bahati nzuri alushasema serikali kibubu kimeisha wewe endelea na mapambio yasiyokuwa na msingi kwa kuniita sukuma gang lamba asali ni wakati wako.Mleta mada huna lolote. Hapa umepindisha hoja tu Lakini lengo lako ji kujaribu kulinda legacy ya yule mpumbavu, mwendawazimu aliyekosa utu na kujitwika unyama akaamu kuwa muuaji, mtekaji na mpora fedha za watu.
Sukuma gang OG wewe. Njoo kivingine wenye akili tumekustukia.
Mama ameigalagaza legacy ya yule Mungu wenu wa Chato.
Kwahiyo unasuburi kulipwa RUZUKU YA VYETI FEKI!? LAHAULAH!Mleta mada huna lolote. Hapa umepindisha hoja tu Lakini lengo lako ji kujaribu kulinda legacy ya yule mpumbavu, mwendawazimu aliyekosa utu na kujitwika unyama akaamu kuwa muuaji, mtekaji na mpora fedha za watu.
Sukuma gang OG wewe. Njoo kivingine wenye akili tumekustukia.
Mama ameigalagaza legacy ya yule Mungu wenu wa Chato.
Hivi umeolewa kweli?Mleta mada huna lolote. Hapa umepindisha hoja tu Lakini lengo lako ji kujaribu kulinda legacy ya yule mpumbavu, mwendawazimu aliyekosa utu na kujitwika unyama akaamu kuwa muuaji, mtekaji na mpora fedha za watu.
Sukuma gang OG wewe. Njoo kivingine wenye akili tumekustukia.
Mama ameigalagaza legacy ya yule Mungu wenu wa Chato.
Uongozi wa serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzania kuweni na aibu wakati mwingine hivi unawezaje kumlipa mtu ambaye alikuibia ? kama ni msamaha mliwasamehe kwa kuwafuta kazi maana yake ni kwamba mshahara waliokuwa wanapata kupitia ajira ya vyeti hivyo mliona unatosha na kuwafuta kazi.
iweje leo watu walioghushi vyeti na kuibia serikali walipwe pesa za umma ! Raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania asifikri kulipa malipo hayo ni sifa bali atakuwa amejichafua mwenyewe hii itamaanisha hakuna umakini uliopo katika serikali anayoiongoza.
kuna tetesi kuwa yale ma vyeti ya posta kila mtu ananunua kwa wakati wake na wa nunuzi wakuu ni watu ambao walishapata ajira serikalini na hununua waliowengi ili waweze kupanda madaraja kulingana na elimu zao kwa sasa kila mtu anakula kulingana na urefu wa kamba yake.
Baada ya kuielewa ccm vyema na serikali kwakweli hata mimi nimeona nianze kujiongeza kwa baadhi ya mambo ili mradi nisije kupata tatizo lolote.
nchi hii ukijifanya mzalendo wa kila kitu utakufa masikini.
Ushahidi mkubwa nilioona ni pale mwenyekiti wa chama cha ccm na raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania ambao alianza kutukana wakosoaji wake ndani ya chama kwa kusema mtu anayejuwa itikadi za chama hawezi kuleta nongwa hii alimaanisha hataki watu wakosoe mabaya yanayofanyika ndani ya nchi hasa ukiwa ndani ya ccm, sasa ajue kuwa nchi hii siyo miliki ya ccm ataondoka ataiacha na hawezi juwa ni viongiozi gani watakuja asishangae akaitwa mahakamani kwa makosa aliyoyafanya akiwa raisi, lipa vyeti feki hiyo haifutiki siku moja utaulizwa maswali.
Busara unambusaria mwizi tumia akili kuwaza walivyokula vinawatosha waridhike na afadhari Kuliko kutaka zaidiMi kwa mtazamo wangu naona kama angewaacha waliokuwa kwenye system, halafu ahakikishe hakuna mpya anayeingia na cheti feki.
Na pia kulipwa stahiki zao ni sahihi maana ni pesa yao, Mambo mengine yanataka busara sio pupa.
Jela Sio haki Yao au tuwalipe alafu tuwafunge basi hii unaionaje mkuuMi kwa mtazamo wangu naona kama angewaacha waliokuwa kwenye system, halafu ahakikishe hakuna mpya anayeingia na cheti feki.
Na pia kulipwa stahiki zao ni sahihi maana ni pesa yao, Mambo mengine yanataka busara sio pupa.
Unauhakika gani ni picha nzuri wakati ni taifa maskini na hao ni kati ya waliokuwa wanauboresha huo umaskini katika ofisi za umma [emoji3]Nafikiria hivi. Mtu amekuibia kamera; akaenda kupiga picha nzuri tu. Je ukimkamata nayo utamwambia akatoe picha alizokiwisha piga akurudishie kamera yako au utaichukua kwa nguvu bila kujali alishapiga picha ngapi.
Nina wasiwasi Erythrocyte naye alighushi cheti cha form four, kutokana na kutetea huu uozoUongozi wa serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzania kuweni na aibu wakati mwingine hivi unawezaje kumlipa mtu ambaye alikuibia ? kama ni msamaha mliwasamehe kwa kuwafuta kazi maana yake ni kwamba mshahara waliokuwa wanapata kupitia ajira ya vyeti hivyo mliona unatosha na kuwafuta kazi.
iweje leo watu walioghushi vyeti na kuibia serikali walipwe pesa za umma ! Raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania asifikri kulipa malipo hayo ni sifa bali atakuwa amejichafua mwenyewe hii itamaanisha hakuna umakini uliopo katika serikali anayoiongoza.
kuna tetesi kuwa yale ma vyeti ya posta kila mtu ananunua kwa wakati wake na wa nunuzi wakuu ni watu ambao walishapata ajira serikalini na hununua waliowengi ili waweze kupanda madaraja kulingana na elimu zao kwa sasa kila mtu anakula kulingana na urefu wa kamba yake.
Baada ya kuielewa ccm vyema na serikali kwakweli hata mimi nimeona nianze kujiongeza kwa baadhi ya mambo ili mradi nisije kupata tatizo lolote.
nchi hii ukijifanya mzalendo wa kila kitu utakufa masikini.
Ushahidi mkubwa nilioona ni pale mwenyekiti wa chama cha ccm na raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania ambao alianza kutukana wakosoaji wake ndani ya chama kwa kusema mtu anayejuwa itikadi za chama hawezi kuleta nongwa hii alimaanisha hataki watu wakosoe mabaya yanayofanyika ndani ya nchi hasa ukiwa ndani ya ccm, sasa ajue kuwa nchi hii siyo miliki ya ccm ataondoka ataiacha na hawezi juwa ni viongiozi gani watakuja asishangae akaitwa mahakamani kwa makosa aliyoyafanya akiwa raisi, lipa vyeti feki hiyo haifutiki siku moja utaulizwa maswali.
Kwa stahiki zao zipi wakati waliingia kimakosa? Kuna watu walikosa kazi wakati wana vyeti halali, hivyo feki waliwazibia iweje walipwe?Mi kwa mtazamo wangu naona kama angewaacha waliokuwa kwenye system, halafu ahakikishe hakuna mpya anayeingia na cheti feki.