Rais Samia aagiza Darasa la Saba waliofutwa kazi walipwe stahiki zao

Akamatwe kwanza Bashite
 
Utaku
Utakuta wewe nae una familia inakutegemea kweli?
Kama umesikiliza mwenyewe bado hujaelewa alimaanish nini basi una matatizo.
Rudia kusikiliza ndo uje na mapambio yasiokuwa na maana.

Najua muda si muda mtaanza matusi yenu kumbe ni kwa kutokujua kwenu nini kinasemwa.


Amesema wale walio ondolewa wa darasa la saba na wegine walilipwa na wengine hawajalipwa mafao yao
 
Familia yangu inakuhusu nini off point , mooderator angalii huyu mtu huku , waharibu mijadara .
 
Tunataka utawala wa sheria.. upinzani
Kutowalipa std 7 kuangalie ubinadamu sio sheria.

JPM hakuwa mpiga lamli...

RIP jembe
Maoni yako hayana ubinadamu wa kujua hawa watumishi walitumikia hii nchi kuliko hata Jiwe , Wana familia zao na mchango wait wa taifa upo na wamechangia mifuko ya hifadhi ya jamii .
 
Kama ulifanya kazi kwa jasho na ukachangia mifuko,lazima ulipwe,hatutaki dhulumati dhulumati
Vyeti fake ni jinai sasa alipwe ksha apelekwe mahakamani afungwe kwa udanganyifu kisha alipe ma fidia.
Je watakubali hilo?
 
Akamatwe kwanza Bashite
Kama tunarudi kinyumenyume kwa hili, basi washitakiwe kwanza kwa kubushi vyeti. Watakaoshinda kesi walipwe.
Watakaoshindwa kesi wawajibishwe.
Huo ndo utawala wa haki , sheria na uwajibikaji. Rais asilee utamaduni dhaifu wa yaliyopita si ndwele. Utamaduni huu hauna tija kwa taifa la vizazi vijavyo.
Sasa kamabuko timamu tuonyeshe wapi kasema wenye vyeti fake walipwe?
 
Kama hujui hujui tu ni bora kukaa kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…