Pre GE2025 Rais Samia aagiza mahindi kununuliwa kwa Tsh 700 kwa kilo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Utakuwa hulimi we endelea kula Bata dar
 
Samia hashiki jembe pengine hajui hata kulima.

Anapangaje bei ya mazao?

Bei ya mazao huamuliwa na uhitaji kwenye soko [demand] .

Hizi cheap politics hazina tija na watazibeba wajinga kuja kumpa sifa asizostahili.
Unajua msimu wa mavuno bei Huwa inakuwaje? Hebu acha tufurahie tunaojua bei iikuwa sh ngapi huko unakosema sema sokon, kwa taarifa Yako mahindi yaliuzwa mia tatu kwa kg
 
Kila nchi huwa Ina majitu majinga. Tanzania Ina jinga hili limeandika hapa. Mungu huwa hana mpango na matapeli. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto liteketee
 
Ni matamko ya serikali, ina maana sote hatujui kuwa ni kipi kinachagua bei ya bidhaa sokoni.
Hata sisi tusiokuwa wachumi tunajua, demand and supply ndio jambo linaamua kwa haraka haraka. Bei haiwezi kuwa hivyo kwa kauli tu.
 
Unajua msimu wa mavuno bei Huwa inakuwaje? Hebu acha tufurahie tunaojua bei iikuwa sh ngapi huko unakosema sema sokon, kwa taarifa Yako mahindi yaliuzwa mia tatu kwa kg
Mimi sio sellout sio mkulima ila nimepitia article ya mkulima ambayo ina figures halisi za gharama zote mpaka kutoa mavuno so you better shut up.

Duniani kokote mahitaji ya soko ndio huamua bei , habari ya wanasiasa kuingilia bei za mazao tulijionea Magufuli alivyovuruga kwenye korosho.
 
Mimi sio sellout sio mkulima ila nimepitia article ya mkulima ambayo ina figures halisi za gharama zote mpaka kutoa mavuno so you better shut up.
Basi sikiliza sisi ndo wakulima wenyewe tumependezwa sana na hii bei ya mahindi. Umeisoma hyo article percentage of pragiarism?
 
Hebu vijana wa Kenya njoon mtusaidie Tz kufikiria.
Sh 50 inaandikiwa pamphlet!
 
🤣🤣baadae ya dola na gharama za maisha kupanda afu unataka washangilie
 
Samia ndio yupo site sio??

Sisi tupo site tumefurahishwa na bei nzuri ambayo imetamkwa na Mh Rais Dr. Samia Suluhu Hassan Leo ya 700 kg ya mahindi nashangaa unakuja na povu 😂 pole sana endelea kusoma article za mchongo hzo
 
Lucas unaumwa?

Kuna mkulima mwenye mahindi mwezi huu July wa kuuza NFRA?

Mtaani hakuna mahindi ilhali Serikali inayauza yaliyoko NFRA nje ya Nchi, Zambia na Malawi🤔
 
Samia hashiki jembe pengine hajui hata kulima.

Anapangaje bei ya mazao?

Bei ya mazao huamuliwa na uhitaji kwenye soko [demand] .

Hizi cheap politics hazina tija na watazibeba wajinga kuja kumpa sifa asizostahili.
Ni ujinga mtupu,
 
Luca toa maelezo yanayoeleweka punguza mahaba hata unashindwa kufikisha ujumbe ipasavyo,hata pale ujumbe unapokuwa ni mzuri na ungeweza wanufaisha wengi,jitahidi kutokuwa mbinafsi kwa viwango hivi,utaweza kuwasaidia wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…