Pre GE2025 Rais Samia aagiza mahindi kununuliwa kwa Tsh 700 kwa kilo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ndugu zangu Watanzania,

Tuwe tunaeleweka tunaposema ya kuwa Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe , Ameinuliwa na mkono wa Mungu Mwenyewe, aliandaliwa na Mungu Mwenyewe kuja kuliongoza Taifa letu, amefika hapo alipo kwa mpango wa Mungu na kwamba amekuja na kuletwa kwetu kama zawadi kwa watanzania.

Sasa baada ya kusikiliza maneno pamoja na kiu ya mamilioni ya wakulima kutaka mama awaangalie kwa jicho la huruma na Upendo wakulima kuhusiana na bei ya mahindi kwa kilo.hatimaye Mama huyu mwenye moyo wa upendo,ukarimu ,utu,uungwana na mwenye kuguswa na maisha ya watanzania amesikiliza kilio chao.

Ambapo ametoa maagizo mazito sana yaliyoibua shangwe,nderemo na vifijo kutoka kwa wakulima baada ya kutamka kuwa kuanzia kesho asubuhi mahindi yaanze kununuliwa kwa shilingi Mia 7 yaani 700 kwa kilo moja.ambapo Awali kabisa ilikuwa ni mia tano na baadaye ikaja mia 650 kwa mijini na 600 kwa vijijini.na sasa kwa ujasiri na upendo kwa wakulima bei elekezi ni mia 7 kwa kilo kuanzia kesho asubuhi.

Huo ni upendo mkubwa na usio na kifani alio uonyesha Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa wakulima.hii ni baada ya kutambua gharama wanazotumia wakulima katika uzalishaji, hii ni kwa kujuwa kilimo ndio Secta iliyobeba kundi kubwa la watanzania,hii ni kwa kutambua kuwa kilimo ni biashara na kinapaswa kuwainua watu kiuchumi,hii ni kwa kutaka kuona watu wanaondokana na umaskini kupitia kilimo.

Haya ni maamuzi ya kijasiri ya Rais wetu mpendwa kutaka kila mmoja aone kilimo ni shughuli inayoweza mpatia mtu utajiri na kuishi maisha bora na ya heshima na kupata chochote akitakacho mtu na kupata milo mitatu ya Chakula kwa siku na iliyo bora kabisa.Ni maamuzi ya kumuinua mgongo mkulima ambaye miaka mingi amebeba mzigo wa kulisha Taifa hili na kuhakikishia usalama na utulivu unakuwepo. kwa sababu huwezi kumuongoza wala kusikilizwa na mtu mwenye njaa ya chakula tumboni.

Kikubwa na Rai yangu ni kuwataka na kuwakumbusha wakulima wenzangu kutunza mahindi ya chakula kulingana na ukubwa wa familia.msiuze mahindi na chakula chote mkasahau kuweka hazina ya chakula.njaa ni mbaya sana na inaleta fedheha na unyonge sana ikiingia ndani ya familia au nyumba.tutunze chakula ili kije kitutunze baadaye. Tuuze kulingana na mahitaji na kuacha cha ziada na matumizi ya baadaye.tusiuze chote halafu tukaacha wafanya biashara wakatutunzia nakuja kutuuzia kwa bei ya juu tusiyoweza kuimudu hapo baadaye. Ni bora ukose vyote ndani lakini chakula kiwepo.

Utulivu na Amani ya nyumba ni pamoja na uwepo wa chakula ndani .kama hakuna chakula unaweza kuona hata watoto muda wote ni kama wagonjwa ,kumbe wamezidiwa na njaa.huwezi ukafanya kazi kama kulima ikiwa umeshinda na kulala na njaa.njaa inauma na haivumiliki .View attachment 3044902

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mungu alikuwa na wewe wakati anakwambia ilo. Mbona ukienda kujisaidia hakwambii kuwa mipango ya kwenda chooni unatumbo kuharisha
 
Samia hashiki jembe pengine hajui hata kulima.

Anapangaje bei ya mazao?

Bei ya mazao huamuliwa na uhitaji kwenye soko [demand] .

Hizi cheap politics hazina tija na watazibeba wajinga kuja kumpa sifa asizostahili.
Wewe fala sokoni mahindi ni 30,000-50,000 Kwa bei hiyo amewaokoa wakulima.

Kabla ya kuropoka jipe mda wa kutafakari.
 
Acha aendelee kujitekenya atacheka mwenyewe
Shu
 
Samia amefuta hiki Kilio na malalamiko ya bei ya mahindi Nchi nzima 👇👇

View: https://youtu.be/NgJ0AdxHYpA?si=3nGX3On_OCgSfXrT
 
Niko Hapa Kamsamba Yaani Kifua KimelowA Kwa Bujijiko La Machozi Ya Furaha Kwa Bei Ya Buku Saba Pale Lumumba FC 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Wewe fala sokoni mahindi ni 30,000-50,000 Kwa bei hiyo amewaokoa wakulima.

Kabla ya kuropoka jipe mda wa kutafakari.
Wewe mpuuzi hauna tangible data zaidi ya uchawa kwa huyo ajuza wenu hivyo sina sababu ya kuengage na wewe.

Na hii thread pia imeanzishwa na mtu wa kundi lako hivyo lazima mpeane support.
 
Biashara ndio ilivyo .wewe unaweza uza kwa bei hii halafu mwenzako akauza kwa bei ile.Bei hubadilika kila siku na ndio maana wengine huhifadhi ili kusikilizia bei ya soko inakwendaje.
Sentensi ya mwisho ndio jibu la ninachowaelewesha hapa nyie kunguni wa mama.

Soko ndio huamua bei duniani kote, Tanzania bangi haijawa legalized ni adimu sokoni "scarce" na bei iko juu ila siku ikiruhusiwa kuwa kilimo huria bei itapungua na soko litaamua bei ndio pale unasikia "grade 1" "grade 2" na kadhalika.

Ifike mahali CCM itumie machawa walioenda shule walau wanaweza kutetea hoja sio kubeba taarifa na kuzileta humu bila kujua wameleta nini.
 
mia 7 kwa kilo kuanzia kesho asubuhi.
Gharama kwa mwaka 2023...sijui eneo gani ilikuwa hivi
Huu hapa ni mchanganuo wa kulima ekari moja ya mahindi kwa sasa hivi
1. Kukodi shamba ekari 1 - 70,000/-
2. Kulima shamba mara 2 - 60,000/-
3. Mbegu pakiti 6 sawa kg 12 - 72,000/-
4. Kupanda mahindi - 30,000/-
5. Mbolea 2 - 140,000/-
6. Palizi 2 - 60,000/-
7. Kuweka mbolea - 30,000/-
8. Kuvuna/kupukuchua/mifuko - 100,0000/-

Jumla ya gharama huwa ni 550,000/- ~ 600,000/-

Mavuno
Mara nyingi mavuno hutegemea ubora wa ardhi na matunzo ya mazuri ya mazao, lakini mara nyingi ekari moja ya mahindi hutoa gunia 15 ~ 25, sasa ukipata kiwango cha chini gunia 15 ukauza kwa bei ya sasa 80,000/- unapata Tsh 1,200,000/- faida ya Tsh 600,000 kwa ekari.
 
Akihotimisha ziara yake Mkoani Rukwa ,Rais wa JMT Samia S.Hassan ametoa Maelekezo Kwa Wakala.wa Hifadhi ya Taifa NRFA kuanza kununua Mahindi ya Wakulima Kwa bei ya Shilingi 700 Kwa kilo badala ya 500 ya awali baada ya Wakulima kulalamikia bei ndogo.

Aidha Rais amempa amri Waziri wa Kilimo kuanza kutoa Ruzuku ya Mbegu Kwa wakulima wa mahindi kuanzia msimu ujao.👇👇

Rais wa Wananchi anajali mahitaji Hongera Samia hongera 🇹🇿 na kazi iendelee
Sawa lakini kura zetu hapati ng'o!!
 
Ni kichaa tu anayeweza kufurahia hiyo bei ya miasaba.kwa maana hiyo gunia la kilo 100 unauza elfusabini?.wakati mwaka Jana watu tuliuza gunia laki na elfuhamsini.mbolea bei juu,mbegu bei juu na kukodisha shamba bei juu halafu unafurahia miasaba?kweli watz kujikomboa utachukua muda mrefu sana.
Mkulima akiwa na "ukwasi" anaakisi uimara wa maamuzi yake. Hawezi Tena kukwamishwa na laghai za vitu vidogo.

Kwa wengine ukwasi wa mkulima ama mfugaji ni tishio...! Tunafanyaje Sasa ...!!!
 
Munadagwanywa Tu 😂 kisa Uchaguzi umekaribia, si alikuwa ana msapoti bashe Kwamba awaache wakulima wauze mazao kokote wanakotaka.

SS mbona mnunuzi anampamgia bei ya kununua mazao, AU ndio mnunuzi kashapewa pesa na serikali kuyanunua Kwa kiasi Fulani na kiwango Fulani?.

Tz Bado sana
Naona wivu umekushika sana baada ya kuona wakulima wanakwenda kupata bei nzuri kwa mazao yao na kufaidika na jasho lao.
 
Samia hashiki jembe pengine hajui hata kulima.

Anapangaje bei ya mazao?

Bei ya mazao huamuliwa na uhitaji kwenye soko [demand] .

Hizi cheap politics hazina tija na watazibeba wajinga kuja kumpa sifa asizostahili.
Acha kulia lia wewe naona wapinzani mmeshaanza kuchanganyikiwa kabisa
 
Chini ya huyu mama neema zinazidi kimiminika Kila uchwao

Uzuri Kwa Sasa mahindi ni ya kutosha kazi imebali kidogo tuh Kwa Kila mtanzania kutafuta mboga ambayo ki uwalisia ni kama nayo mama katushika mkono
 
Back
Top Bottom