Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao

Mi naomba waanze na RC Makonda alipoingia kwenye madaraka kutoka uraianu nilijua Kuna sababu na ataendeleza upuuzi wake.

Is the only person can dare to start or continue doing such thing.Ila Mama Samia asichojua ni kuwa anamwaribia na hata mwendazake alimweka pembeni baada ya kuona mm amekuwa mbaya kuliko shetani.Ila huyu mzee atakuwa ameumia sana na moyo wake kuongea mengi na hiyo damu yake itawamaliza mpaka watoto wao hata awe ni mfalme wa nchi hii.

Leo nimeanza kusoma Zab 35 ,51 na 10 nikishika tumbo langu kwa siku 7 GOD will do something. NIMELIA SANA, KIBAO KAMA BABA YANGU MZAZI RIP BABA Ingawa sikuwa nakujua
 
Namna ambavyo mkuu wa kaya anavyotoa tamko pindi nwanakaya anapopoata madhila inatoa picha halisi ya moyo na dhamira yake.

Mbaya zaidi hata wasaidizi wengine wanamuunga mkono' kwa dhihaka zaidi.

Kwa habari ya Eagle House, si mara ya kwanza 'kuvurugwa', na kitengo nje ya kitengo
 
Mohammed Ali Kawaida aliyedhihaki kifo cha mzee Ali Kibao mpk leo yupo ofisini, kana kwamba hajatenda kosa kubwa la kmaadili.

Jamani, jamani ccm temeni mate chini. Soon vitatokea vifo vya wanaccm, msije kuhamaki watu watakapoanza kufanya jogging za shangwe kshangilia vifo hivyo.
 
Hii ndo inanipa mashaka unaua binadamu mwenzio kisa mali na madaraka
 
Angeunda TUME YA MAHAKAMA YA KIJAJI ndiyo suluhisho zaidi la suala hilo.
 
Wanayo hoja...wasikilizwe.
Huwezi kuua baba wa watu halafu uchekewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…