Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao

Dodoki limetumika Ili kujenga taswira halisi ya kufichwa kwa waovu kama ambavyo uchafu huganda baada ya taka kuzolewa nk.

Kitendo Cha serikalikukaa kimya kwa muda mrefu ,serikali isijitie ububu na uziwi na hatimaye inaonekana kama inaunga mkono utekwaji,uteswaji na kuuliwa

Serikali msivae pamba masikioni tazameni idara mbalimbali zinazotajwa. Zingatieni kwamba hakuna mbadala wa mtu sehemu yoyote na wakati wowote
Kutolifumua jeshi la polisi na kutomuwajibisha waziri husika,serikali itakua imeamua kubeba lawama kutokana na uzembe aidha wa makusudi au kutokukusudia
 
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro Patrick Boisafi amelaani vikali mauaji ya Kaka yake Isack Boisafi Mallya (72) baada ya kukutwa kauliwa na mwili wake kutelekezwa nje ya nyumba yake
👇🏽👇🏽

View: https://www.instagram.com/reel/DDH_WaiukeI/?igsh=MWY5b2F2YnJpbjhoMQ==

Kifo ni kifo TU; Saa100
 
Imeisha hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…