Rais Samia aagiza wote waliotajwa kwa wizi wa Fedha za Umma kwenye Ripoti ya CAG washughulikiwe

Kama kuna Rais wa Ukweli Tanzania tumepata basi ni huyu mama,

#MAMA KAZIIENDELEE
 
#nakupenda Tanzania
 
Jamani Kuna hata jizi limoja lililofanyiwa kazi baada ya mama kutoa maagizo?
 
#Kaziiendelee Tanzania
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
Hata yeye muhuni tu
Mama tunaomba awashughulikie Barabara hao wahuni wanaoihujumu nchi Mimi namkubali Sana bi mkubwa anaweza Fanya kitu kikubwa kikabadilisha mustakabari wa Taifa letu maana najua yeye hayupo kwenye Ile cabinet ya mafisadi na wahuni hivyo achukue hatua Kali tuanze kujenga taifa jipya lisilo na makandokando ya wale wahuni wa awamu zilizopita!
Lala nao mbele aiseee tuna Imani nanyi!
Asante!
 
Uko sahihi 100%
 
Tutaheshimiana
 
Huu mfumo wa kusubiri mpaka rais atoe maelekezo ya nani ashuhulikiwe na nani aachwe ni mfumo uliopitwa na wakati zamani hizi na ni kasi ya mwendo wa trakta kuyaendea maendeleo kwenye dunia inayoenda kwa kasi ya Km 300+ kwa saa.
Katiba mpya itakatomwondoa rais kwenye ufalme na sifa za kijinga zisizi na tija inahitajika kwa sasa.
Ni wazi kuwa namna ya utawala wa Samia na kundi lililo nyuma yake ni zile fisi za zama za Kikwete.
Hawa watu ni mafisadi na hakuna wanachotaka ila kuwahi chao mapema.
Wanajua fika udhaifu wa mfumo na kiongozi wao Samia hivyo watu wanaoingizwa kwenye hizo ofisi ambazo zinaagizwa kushughulikiwa na takukuru wanaanza ofisadi pindi tu waingiapo.
Wanajua hakuna mfumo wa kiutawala kuwashughulikia ni mpaka tena tamko la rais ambalo huenda lisiwepo tena kuhusu hizo ofisi kwa kipindi chake chote.
 
Safi Sana kwakweli
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Awe anatoa maamuzi sio kuacha swali tena raisi gani huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…