Rais Samia aagiza wote waliotajwa kwa wizi wa Fedha za Umma kwenye Ripoti ya CAG washughulikiwe

Kuna watu wanapandisha bei za bidhaa kiholela kumchafua Rais Samia,

Waziri Mkuu pambana na hawa watu nia yao si njema kabisa,
 
Acha kujifurahisha wewe....
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Naunga mkono hoja yako
 
Anaagiza washughulikiwe baada ya kuiita serikali yake kuwa ni serikali ya kifisadi.

Huu ni unafiki lakini pia ni indicative kuwa Samia siyo kiongozi kwa sababu huwezi kushughulikia wahalifu wanaofuja mali za uma baada ya hao waalifu kukuchukiza.

Hii maana yake ni kwamba hawa mafisadi wangetulia kimya na kula na kipofu wala wasingeguswa.She is hopeless inept.
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Tutaelewana tu
 
Tanzania kama hizi report za CAG tungekuwa tunazifanyia kazi,nina uhakika wizi ungepungua. Tatizo letu mtu akipiga anahamishwa taasisi nyingine au anapelelwa mkoa mwingine. Matokeo unakuwa huja litatua tatizo.
 
Rais fisadi anaehamasisha ufisadi kwenye Serikali yake tena kupitia TV ya Taifa hana credibility ya kupambana na mafisadi.Akae kimya.
Your browser is not able to display this video.
 
 
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Tanzania kama hizi report za CAG tungekuwa tunazifanyia kazi,nina uhakika wizi ungepungua. Tatizo letu mtu akipiga anahamishwa taasisi nyingine au anapelelwa mkoa mwingine. Matokeo unakuwa huja litatua tatizo.
Hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…