Rais Samia aagiza wote waliotajwa kwa wizi wa Fedha za Umma kwenye Ripoti ya CAG washughulikiwe

Nini Tena, file lilikuwa zito? Hebu dadavua kiasi
 

angalau alithubutu, wapo waliokwenda jela ambao hakuna aliyewaza wangeweza hata kwenda police post...
ule uthubutu angalau ulionyesha njia na uwezekano....asingeweza kumaliza yote angalau alijaribu kwa kiasi chake...

Bado tuna tatizo la CCM kama chama kulinda maslahi yake hapa ndio palipomfunga brake..
 
Nimeangalia upya wa user nikaelewa ,wewe ni mkale hapa jukwaani
 
Acha porojo kijana. Huyo mzee wako wa Lupaso na kijana wake kama wangekuwa na nguvu hizi unazozisema hapa, wasingetangulizwa udongoni kizembe zembe hivi.
 
Wapigaji wa serikalini Tanzania huwa ni vigumu kuwazingua kwa sababu wanaishi "kimfumo" yaani akiharibu ukitaka kumgusa utajikuta unajigusa mwenyewe.
Labda tu "outsource" mahakama ya kushughulikia mafisadi wa Bongo
Mkuu umeongea point moja kubwa Sana wengine ni ngumu kujua hili.
 
Magufuli alikwapua 1.5 trillion mbona hakuchukuliwa hatua?
 
Naunga mkono hoja tena aanze na Polepole.
 
Kadhalika MBOWE,au yeye anaonewa?
 
Tatizo ninaloliona hapa ni kwamba kwenye hiyo speech alitakiwa aamuru hao woootee walioko kwenye ripoti ya CAG wakamatwe kwa sababu nina uhakika hawatachukuliwa hatua na hivyo vyombo maana wanalindana. Kwenye eneo hili JPM alifanikiwa, alikuwa hacheleweshi kutoa amri watu wanadakwa fasta.
 
No.. JMP hakuwachekea bali aliwashughulikia ipasavyo, japo hakufanikiwa kuwamaliza wote kutoka na uchache wa muda aliokaa madarakani. RIP raisi wetu.
 
Kadhalika MBOWE,au yeye anaonewa?
Mbowe so mlimfunga enzi za JPM thou mahakama ya rufaa ikagundua hakua na hatia!! Ila majitu kma chenge na yule Vice chairman wa ACACIA waliotupa hasara ya matrillion hta kamati ya maadili tu ya CCM hawakuitwa; in fact mmoja kapewa ubunge na mwingine alipewa uenyekiti wa bunge.

Alafu mtu anakuja hapa eti JPM alikua chuma??
 
Magufuli alikwapua 1.5 trillion mbona hakuchukuliwa hatua?
Hizo pesa alizokwapua ziko wapi zirudi serikalini kugharamia shughuli za maendeleo?

Magufuli tayari hayupo duniani ni muda muafaka rais Samia kuzinyakuwa pesa hizo kuliko kupewa pesa za wafadhili kwa mashariti ya kingese

Halafu unaonekana ni zuzu unayeimba wimbo ki dogmatism,pathetic!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…