Rais Samia aagiza wote waliotajwa kwa wizi wa Fedha za Umma kwenye Ripoti ya CAG washughulikiwe

Hahahahahahahahah
 
Huu ndio ujinga unafanya jpm akumbukwe...
Madam, fanya maamuzi on the spot, acha kurembua!!!
 
Mahakama za bongo zipo busy na kesi za ajabu ajabu huku wakiwa karibu na wapigaji hapo wakiwaangalia..wanaleta movie za vyama huku wahuni wachache wakila keki ya Taifa.
 
Mkitajiwa mnalalamika akikaa kimya mnalalamika. Binadamu panamtosha kaburini.Akiwa hai hatosheki haridhiki.

Kazi ya Rais sio kutaja wahalifu...

Yaani kama alihitaji sana kuzungumza kwenye kadamnasi basi alipaswa aje na actions zilizofanyika na sio maagizo...

Endapo angekuja na matamshi kama, "Hadi sasa watu kadhaa wapo mahabusu wakikabiliwa na tuhuma ABC, au hadi sasa watu kadhaa wanachunguzwa na Takukuru kwa tuhuma ABC..."

Jukwaa sio mahali pa kutoa maagizo ya kiutendaji, ni mahali pa kutoa mrejesho, kuhamasisha wananchi, kuwatia moyo waliokata tamaa, kutoa dira n.k
 
Rudia kusoma ulichoandika. Yaani wewe unajua majukumu ya Rais kuliko hata Rais mwenyewe?. Amazing!!!!
 
P
Paukwa pakawa
 
P
Paukwa pakawa
 
Ccm bana mpaka Raisi aseme, apende bila katiba mpya haya maigizo hayataisha
 
Yeye si ameisoma? Awasimamishe kazi kisha aagize takukuru wachukue hatua!! Anasukumizia takukuru anawaogopa? Kama wanaendelea kula kodi zetu hovyo kwanini asi-take action??
 
Upuuzi wako utaisha lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…