Rais Samia aagiza wote waliotajwa kwa wizi wa Fedha za Umma kwenye Ripoti ya CAG washughulikiwe

Hivi akitokea kiongozi mwenye uthubutu wa kufanya maamuzi magumu ya kuliponya Taifa kwa kuanzisha uchunguzi wa taasisi zote za umma, idara za serikali pamoja na mali zote za umma, ni wangapi watapona!!???
 
Ambae anaamini matamko ya wanasiasa wa nchi hii anyooshe kidole juu?
 
 
Huyu mama naye kiazi. Ile ripoti ya kicheele ya BOT iko wapi?
 
Vipi kule maliasili ambapo pesa ya umma ilikuwa inagawiwa kama nyanya kipindi kibwagala ni waziri, na CAG akatamka matumizi ya mil. 900 hayana risiti, kuna ule ukaguzi maalum uliofanyika BOT na lenyewe limepita kimyaaa.....mwambieni mama asifikiri tumesahau, msitake kumpigia chapuo kwa maneno ya kirejareja........
 
Hakuna mtu anamchuulia serious, tangu mara ya kwanza apewe ripoti na CAG aliongea hivihivi na hakuna hatua zilizochukuliwa.
 
 
Kaziindelee Tanzania
 
JPM mwenyewe ndo alikuwa mwizi namba moja sema alikuwa na kikundi chake walichokuwa wanataka waibe peke yao
 
waliotajwa kwenye ripot ya CAG, si wateule wa rais?! sasa waziri atawafanya nn hao waliotafuna pesa za umma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…