Rais Samia aahirisha ziara yake ya Cuba

Wezi wana tumwa kwenda kuaangalia uchaguzi wa nchi zingine
 
Lucas Mwashambwa kuna watu wanaingilia anga zako huku
 
Duuuu yule Lucas atanunaa haja post yeye kububujikwa.....na machozi ya kimbunga......hadi wananchi wa Cuba wangesema Saa 100 mpango wa Mungu ameleta kimbunga Rafael....wapi Lucas

.
 
Afrika bhana. Yani rais anapotea tu bila taarifa. Hata akiwa mapumziko Taifa linapaswa kupewa taarifa. Nchi inaendeshwa kienyeji hivi kwenye nyanja zote
 
Kwa hio garama za maandalizi zimepotea bure,na bado siku za karibuni atazuru huko tena!
yaani hotel booking, flight booking, za msafara mzima acha maofisa wa usalama na protocal waliotangulia huko, mawaziri na maofisa wa wizara walioko huko, hii gharama tunapaswa kuambiwa ni shs ngapi zimekwenda na maji, yaani nchi wameachiwa akina bashungwa
 
Ifike mahali huu ujanja ujanja wa uchaguzi katika Nchi za Afrika ukomeshwe.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Jambo jema linapofeli huwa ni shangwe ya kipekee kwa wana chadema, stop negativity, once you stop negativity mean you give a chance to new positive and success!
 
Inaonekana hawakujipanga
Inasikitisha sana mtu una smart simu halafu unashiindwa hata kufuatilia kitu kidogo kinachoendelea Cuba. Gridi ya umeme ya taifa na viwanja vya ndege vimefungwa na hali ni mbaya bado unasema: "Watakuwa hawakujipanga" please JF ni jukwaa kubwa tuliheshimishe kwa hoja zetu.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Hapa ndo ujue michawa akina Lucas Mwashambwa Tlaatlaah yanapuyanga kivyao, system haina habari nao🀣🀣
hiyo ni useless gentleman,

yaani unaelezwa huko kuna hatari ya kimbunga, ndege hazitui wala kuruka huko havana na maeneo mengine mengi huko Cuba, then ulitaka kulazimisha rais aende kanakwamba ni maandamano haramu kama yale ya chadema ya samia must go, right?πŸ’
 
Kwani Waziri Salum anasemaje?
 
Hajaahirisha kwa matakwa yake ni hali mbaya ya hewa imebidi asiende huko ndege zote cancelled.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…