Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia wewe hujui kitusasa wewe kinakuuma kinini..?
wewe unaejua unajua nini zaidi ya kuhisi tuTulia wewe hujui kitu
Utulie sasa kama unaona nahisiwewe unaejua unajua nini zaidi ya kuhisi tu
kalaleniUtulie sasa kama unaona nahisi
Okay.Inatolewa taarifa kuwa Rais atakuwa nchi fulani kwa ziara ya kikazi. Tunapewa ratiba yenye kila kitu na ndege ya Rais inaondoka hadi kufika eneo husika. Mara ghafla tunaambiwa Rais ameahirisha ziara bila kuelezwa kisa ni nini. Lakini ndege ipo eneo la ziara.
Cha ajabu ndege inaonekana kuondoka eneo la ziara kurudi nchini bila kuwa na taarifa zozote kuhusu Rais. Kipi hasa tunachotaka kisijulikane? Na kwanini?
Sisi kama taifa tulitakiwa tuwe tumetoka huko kwenye hayo mazonge kutokana na tulipotoka.
Ni hayo tu!
Hana taarifa😂
HIvi hawa Watanzania ambao wametoka huko Bongo na kwenda kwenye kongamano, na hivi sasa wanachapisha picha zao mitandaoni wakiwa huko, je, wao wamefikaje na kufanikisha kongamano lao?Inasikitisha sana mtu una smart simu halafu unashiindwa hata kufuatilia kitu kidogo kinachoendelea Cuba. Gridi ya umeme ya taifa na viwanja vya ndege vimefungwa na hali ni mbaya bado unasema: "Watakuwa hawakujipanga" please JF ni jukwaa kubwa tuliheshimishe kwa hoja zetu.🙏🙏🙏
Hahaha huwa na shangaa sana, hawa watu hawajawahi kushinda uchaguzi, wanapata wapi mamlaka kusimamia chaguzi za watu wengine?Kwa kina:
October 3, 2024
H. E Dr. Amani Abeid Karume launches the SADC Electoral Observation Mission to the Republic of Mozambique’s Presidential, Legislative and Provincial Elections
The SADC Head of Mission to the Republic of Mozambique’s 9 October 2024 National and Provincial elections, H. E. Dr. Amani Abeid Karume, Former President of Zanzibar, officially launched the SADC Electoral Observation Mission (SEOM) at a ceremony held in Maputo today.
The launch was attended by several key stakeholders, which included Ambassadors and High Commissioners accredited to the Republic of Mozambique, Representatives of the Mozambican Government, the National Electoral Commission (CNE) and the Technical Secretariat for Election Administration (STAE), Political Parties, Religious Leaders, and Members of the Civil Society, Local and International Observation Missions and partners from the Media Houses.
The launch ceremony was followed by the official sending-off of the SADC observers, during which the SEOM leadership stressed the importance of implementing all aspects of their training as they observe and report on the pre-election, election day, and post-election processes.
H. E. Dr. Karume underscored that the SADC Electoral Observation Mission would assess the conduct of the elections against the revised SADC Principles and Guidelines Governing Democratic Elections (2021), which the SADC Member States adopted. These include, among others, the full participation of citizens in the democratic and development processes, enjoyment of human rights and fundamental freedoms such as freedom of association, assembly and expression, measures to prevent corruption, bribery, favouritism, political violence, intimidation and intolerance, equal opportunity for all political parties to access the State Media, and the assurance of access to information to all citizens on election matters.
The Head of Mission commended the works of the SADC Mission in Mozambique (SAMIM), which served to address the terrorist insurgency in Northern Mozambique. He also welcomed the assurance and commitment of the Mozambican government to guarantee that the gains achieved by SAMIM are safeguarded.
He went on to applaud the efforts of the Mozambican Defence Forces and other security agencies in ensuring that, like all Mozambicans, the people of the affected areas in Northern Mozambique managed to register to vote and fully participate in the electoral process despite their security challenges.
The SEOM leadership further wished the people of Mozambique a peaceful and calm election and called “upon all registered voters to turn out peacefully and cast their votes on the 9th October 2024. In the remaining days to this important date, SADC also calls upon all political stakeholders in Mozambique to act maturely, respect divergent political views, and exercise responsibility during the elections and in the post-election phase”.
For his part, Professor Kula Ishmael Theletsane, Director of the Organ on Politics, Defence and Security Affairs, underscored the importance of the conduct of elections and election observation Missions, noting how “the common aspiration of transforming the SADC region into a fully integrated space which safeguards prosperity for all relies heavily on its overall resilience in commanding democracy, good governance, peace, and stability”, as exemplified in the manner we conduct elections.
The SEOM arrived in Mozambique on 24 September 2024 and will be in the country until 20 October 2024 to observe the elections following the revised SADC Principles and Guidelines Governing Democratic Elections (2021).
The Mission comprises 97 personnel, of which 52 observers will be deployed. The observers for SEOM Mozambique come from 10 SADC Member States, namely, Angola, Botswana, the Democratic Republic of Congo, Eswatini, Malawi, Namibia, South Africa, United Republic of Tanzania, Zambia, and Zimbabwe. They will be deployed to all 11 Provinces of Mozambique, namely, Cabo Delgado, Gaza, Inhambane, Manica, Maputo City, Maputo, Nampula, Niassa, Sofala, Tete and Zambezia.
Presha inachangiwa na mambo mengi kumbe. 😅😅Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.
Saa hizi yupo Kizimkazi anashushia matofaha ya kiunguja kwa tende shake. Baada ya kupiga mishkaki ya chaza na mayai ya samaki iliyojaa filfil mdwawiya.
Kinachotakiwa ni waangalizi huru wasioteuliwa na serikali au rais yeyyoteRais wa Jamhuri ya Muungano amekabidhiwa rungu zito la jukumu katika nchi za SADC ikiwemo chaguzi za haki ktk nchi hizo ambapo Tanzania ni mwanachama mwanzilishi wa jumuiya SADC :
Rais Samia Suluhu Hassan amteua Dr. Amani Abeid Karume rais mstaafu wa SMZ Zanzibar kuongoza jopo la Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu wa Mozambique
SADC inapeleka Ujumbe wake wa Waangalizi wa Uchaguzi (SEOM) kwa Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Majimbo wa Jamhuri ya Msumbiji, unaotarajiwa kufanyika tarehe 09 Oktoba 2024.
Sambamba na mzunguko wake wa miaka mitano wa uchaguzi, Jamhuri ya Msumbiji itafanya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Majimbo tarehe 09 Oktoba 2024. Kifungu cha 3 cha Kanuni na Miongozo ya SADC iliyorekebishwa ya Kusimamia Uchaguzi wa Kidemokrasia (2021), kinatoa kwa SADC kuzingatia yote. uchaguzi mkuu uliofanyika katika Nchi Wanachama wake.
View attachment 3146589
Picha maktaba: Mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia S. Hassan
Kufuatia Ibara ya 8 ya Kanuni na Miongozo ya SADC , Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC, amemteua Mheshimiwa Dk. Amani Abeid Karume, Rais wa zamani wa Zanzibar. , kama Mkuu wa Ujumbe wa SEOM Msumbiji, na kuagiza Sekretarieti ya SADC kuratibu SEOM, ikiwa ni pamoja na kuwezesha kutumwa kwa waangalizi ndani ya nchi
Kwani unataka umuone kila siku?Kimbunga sawa, alirudi nchini? Yuko wapi?
niwajibu wetu kujua yuko wapi, cuba hayipo na nchini hayupo halafu tukae kimya, kha! msitufanye hamnazo.Kwani unataka umuone kila siku?
hayipo ndio nini wewe kilaza? niwajibu=ni wajibu.niwajibu wetu kujua yuko wapi, cuba hayipo na nchini hayupo halafu tukae kimya, kha! msitufanye hamnazo.
mie shule nilikomea la nne b, we elewa kiongozi wetu hawezi potea kienyeji tuhayipo ndio nini wewe kilaza? niwajibu=ni wajibu.
Nadhani unawashwa wewe.mie shule nilikomea la nne b, we elewa kiongozi wetu hawezi potea kienyeji tu
Sasa si itakua imepetiliza? Yaani Dunia isimame kwa mere least developing country presidential visit? Luca ni mpumbavu hata sio mjinga tena! Dunia iache kutegea sikio kinachoendelea united States kwenye uchaguzi na uteuzi wa viongozi unafuatana, yanayoendelea middle east wake asikilize agenda za lugha ya kiswahili za ndumbaro ambazo hazina hata 0.1 impact kwenye global politics and economy! Ccm Ina matakataka mengi kiasi angefufuka Nyerere angekufa ghalflaAtajisikia vibaya sana. Alisema Dunia itasimama. Kumbe yeye ndio amesimamishwa
Unamsikiliza sana Mdude na da'Mange ndio tatizo lako😎niwajibu wetu kujua yuko wapi, cuba hayipo na nchini hayupo halafu tukae kimya, kha! msitufanye hamnazo.
Unamsikiliza sana Mdude na da'Mange ndio tatizo lako😎
View: https://m.youtube.com/watch?v=ouFngqVqWQQ