Rais Samia aahirisha ziara yake ya Cuba

Okay.
Jikumbushe na hii video hapa chini.
 
Hawa watu/watawala wameshawajua watz walivyo. Mf tukisema kesho tuition give barabarani kudai majibu sahihi alipo Rais wetu ni uongo. Nikupiga kimya hadi pale Mungu atakapoamua ugomvi.
 
HIvi hawa Watanzania ambao wametoka huko Bongo na kwenda kwenye kongamano, na hivi sasa wanachapisha picha zao mitandaoni wakiwa huko, je, wao wamefikaje na kufanikisha kongamano lao?
 
Hahaha huwa na shangaa sana, hawa watu hawajawahi kushinda uchaguzi, wanapata wapi mamlaka kusimamia chaguzi za watu wengine?

Kuna tofauti gani kikundi cha Majambazi kuanzisha/kujenga Mahakama na Magereza wao wakiwa mahakimu na viongozi wa magereza hayo?
 
Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.

Saa hizi yupo Kizimkazi anashushia matofaha ya kiunguja kwa tende shake. Baada ya kupiga mishkaki ya chaza na mayai ya samaki iliyojaa filfil mdwawiya.
Presha inachangiwa na mambo mengi kumbe. 😅😅
 
Kinachotakiwa ni waangalizi huru wasioteuliwa na serikali au rais yeyyote
Amani Karume hawezi kukosoa utawala wa Msumbiji. CCM haiwezi kuikosoa Frelimo
 
Atajisikia vibaya sana. Alisema Dunia itasimama. Kumbe yeye ndio amesimamishwa
Sasa si itakua imepetiliza? Yaani Dunia isimame kwa mere least developing country presidential visit? Luca ni mpumbavu hata sio mjinga tena! Dunia iache kutegea sikio kinachoendelea united States kwenye uchaguzi na uteuzi wa viongozi unafuatana, yanayoendelea middle east wake asikilize agenda za lugha ya kiswahili za ndumbaro ambazo hazina hata 0.1 impact kwenye global politics and economy! Ccm Ina matakataka mengi kiasi angefufuka Nyerere angekufa ghalfla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…