Rais Samia aahirisha ziara yake ya Cuba

Rais Samia aahirisha ziara yake ya Cuba

Attachments

  • Screenshot_20241111-212638.png
    Screenshot_20241111-212638.png
    334.7 KB · Views: 3
Inatolewa taarifa kuwa Rais atakuwa nchi fulani kwa ziara ya kikazi. Tunapewa ratiba yenye kila kitu na ndege ya Rais inaondoka hadi kufika eneo husika. Mara ghafla tunaambiwa Rais ameahirisha ziara bila kuelezwa kisa ni nini. Lakini ndege ipo eneo la ziara.

Cha ajabu ndege inaonekana kuondoka eneo la ziara kurudi nchini bila kuwa na taarifa zozote kuhusu Rais. Kipi hasa tunachotaka kisijulikane? Na kwanini?

Sisi kama taifa tulitakiwa tuwe tumetoka huko kwenye hayo mazonge kutokana na tulipotoka.

Ni hayoo

Ogopa sana nchi ambayo watu wanatendwa ukatili halafu wanagoma kuandamana na kusema "TUNAMWACHIA MUNGU".
 
Back
Top Bottom