Rais Samia aambiwe Makamu wa Rais ni Mkubwa kwa Rais wa Zanzibar, au anafanya makusudi!?

Jinga ww,mbona ukuohoji wakat msukuma mwenzio alipokuwa anavunja katiba
 
Yule mfu wenu wakati anavunja katiba mlikuwa kimiya wapuuzi nyinyi,,muachane mama afanye atakavyo, na ndio rais uyo hadi kiama inshallah, Kama utaki jiue
 
Wewe nawe ni zero brain. Mmoja anaitwa Rais na mwingine makamu wa rais bado huoni tofauti?
Makamu wa rais analinganishwa na makamu mwenzake.
Protocal haendi ki-logic hivyo mkuu! Makamu wa rais Tanzania ni na. 2
 
Muulize mbunge wako uliyemchagua hayo maswali. na kwa Maneno ya Kiswahili Raisi ni Mkubwa kuliko makamo wa raisi hata ukubadilisha kwa lugha za kigeni, hata kwenye hafla za kimataifa ndio utaratibu
Nadhani latika hili Katiba ya JMT ituongoze. Rais asipokuwepo nani anaongoza vikao vya baraza la mawaziri?
 
Inategemeana na shughuli husika bwashee.

Kuna wakati Rais wa Zanzibar anashiriki tukio kama Rais siyo Waziri.

Mpango anakuwa mkubwa kwa Dr Mwinyi kwenye mambo ya muungano tu.
Mleta uzi huu amerejelea Binge la JMT, kwa hiyo tukifuata logic yako, japo sio sahihi, Mpango angepaswa kutajwa kwanza kabla ya Mwinyi.
 
Wewe nawe ni zero brain. Mmoja anaitwa Rais na mwingine makamu wa rais bado huoni tofauti?
Makamu wa rais analinganishwa na makamu mwenzake.
He upo sirias...Kama ndivyo wewe ni wa Facebook Sio Jf
 
Mleta uzi huu amerejelea Binge la JMT, kwa hiyo tukifuata logic yako, japo sio sahihi, Mpango angepaswa kutajwa kwanza kabla ya Mwinyi.
Ndio Kama Rais yupo Tanganyika...akiwa Zanzibar sawa!
 
Ametumia kifungu kipi Cha Sheria au katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania kugawanya kwa usawa pesa za muungano?
 
Wazi mkuu yuko wapi?
 
PM ni na. 4
 
Maelezo mazuri sana!
 
Watanzania wanatakiwe wajue kuwa, tanganyika haina raisi wala bunge wala polsisi na kwa mujibu wa katiba raisi wa tanzania hawezi tumia jeshi la JMT bila idhini ya raisi wa zanzibar kwa sababu jeshi ni la muungano na sio la tanganyika, bot pia ni ya muungano na sio ya tanzania. Muundo na mfumounahitaji marekebisho, pamoja na katiba yake. either tuwe na serekali 1 au 3, sio 2 kwani tanganyika huwa kivulini kwenye mfumo wa sasa na ndomana wazanzibari wanaweza chukua nafasi yoyote ile tanzania youte visiwani na bara sababu Katiba haiitambui tanganyika. Ila mtanganyika hawezi fanya kazi ktk serekali ya zanzibar wala kumiliki eneo sababu zanzibar ni nchi huru yenye raisi wake, na mamlaka kamili ila flaws za muungano ndo zinafanya rais wa JMT awe juu ya yule wa znz. Ka mantiki hiyo VP wa JMT hana mamlaka yyt yale katika serekali yyt ile zaidi ya kutekeleza matakwa ya raisi ya JMT. Yani helping hand wa raisi kwa mfumo wa sasa na ceremonial leader. Inshort nyerere alifikiria kiu selfish, na mawazo yake hasi ya kumvua rais wa zanzibar umakam na ilikw shinikizo la kisiasa mana ccm haikuwahi shinda hata mara moja zanzibar ktk chaguzi yoyote ile ya kiti cha urais.
 


Mimi ni mbara lakini maoni yako ni ZERO kabisa. Kisa uilitaka kununua kiwanja Zanzibar ukaambiwa uoneshe kitambulisho cha Zanzibar mkazi!!! Acha chuki kwa mama na wazanzibar kwa ujumla. Ungejua wazanzibar maisha wanayoishi ya tabu wala usingeongea chochote.
 
Mleta uzi huu amerejelea Binge la JMT, kwa hiyo tukifuata logic yako, japo sio sahihi, Mpango angepaswa kutajwa kwanza kabla ya Mwinyi.
Dr Mwinyi ni Rais wa nchi ya Zanzibar.

Dr Mpango ni makamu wa Rais wa nchi ya Tanzania

Bunge siyo baraza la mawaziri.

Rais wa Tanzania ni sehemu ya bunge

Rais wa Zanzibar hana sehemu bungeni yeye ni " mgeni"

Kazi Iendelee!
 

Alafu makamu wa raisi wa bara na raisi wa znz ni watu wawili tofauti kabisa, huwezi kumshusha hadhi kiasi hicho raisi Mwinyi kwa makamu tuuuu. Badilika aise, na futa uzi wako haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…