TASK FORCE
JF-Expert Member
- Apr 7, 2017
- 2,465
- 3,459
Jinga ww,mbona ukuohoji wakat msukuma mwenzio alipokuwa anavunja katibaNilihoji kwanini Samia amteue Mwinyi kuwakilisha mkutano wa SADC wakati mwinyi anaingia kwenye serikali ya muungano kama waziri, pia tuna makamu wa rais, waziri mkuu na waziri wa mambo ya nje. Kwa kifupi asituletee uzanzibar wake atabaki one term president