Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #21
Nipo vile vile .kilichoongezeka ni upendo tu kwa ephen[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Lucas kwani umekuaje eti?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo vile vile .kilichoongezeka ni upendo tu kwa ephen[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Lucas kwani umekuaje eti?
Ohooo! Hii ni taa nyekundu kwako Lucas Mwashambwa . ephen_ kaanza kukuchoka. Wanaanzaga hivi hivi.Lucas fanya kupotea jf kama wiki hivi ili watu wapumue
Mwaka huu utakufa na chuki zako binafsi.maana Rais wetu Anaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania.Hata akioga mjini haendi.
Labda moyo wako.huyu mama amekua akiteka mioyo ya watanzania kila kukicha wallah
Utasubiri sana na utakuwa ni kama unasubiri Meli airport.Ohooo! Hii ni taa nyekundu kwako Lucas Mwashambwa . ephen_ kaanza kukuchoka. Wanaanzaga hivi hivi.
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania Daktari Samia Suluhu Hasssan ameibua shangwe na kuteka hisia za watanzania wengi sana, baada ya Rais wetu mpendwa kwa moyo wake wa upendo, huruma, ukarimu na unyenyekevu.
kuamua kwa dhati ya Moyo wake na kwa pesa zake binafsi zinazotokana na jasho lake. Kuamua kuwalipia tiketi abiria wote waliokuwa wamefanya safari kwa mara ya kwanza na treni ya kisasa kabisa kutoka Dar kwenda Morogoro na Morogoro kwenda Dar.
Rais wetu anafanya hivyo kuwapa hamasa Watanzania kutumia usafiri huo wa kisasa, mzuri,salama,nafuu,wa haraka na wenye utulivu wa hali ya juu sana .ambao watu watakaa vizuri pasipo kuchoka wala uchovu wala bughudha wala hofu huku wakifurahia mazingira mazurii ya njiani na hali ya hewa nzuri na safi sana kwa afya ya Mwanadamu..
Rais wetu Anaendelea kugusa na kuteka mioyo ya Watanzania ,kwa matendo yake ya huruma na upendo kwa watu wote . Niambie ni kiasi gani furaha waliyo nayo abiria hao ambao wamepewa ofa hiyo buree kabisa na mama yao mpendwa mwenye moyo wa huruma kwa watu wake. Wameokoa kiasi gani cha pesa ndugu zangu Watanzania?
Hii ndio raha ya kuongozwa na Mama, raha ya kuwa na kiongozi mwenye upendo na ukarimu kwa watu,raha ya kuwa na kiongozi anayewajali na kuwathamini watu wake. Najisikia fahari sana na mwenye bahati sana kuongozwa na Rais Samia .ni historia kwagu nitakayoisimulia miaka ya baadaye panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu.
Imefika wakati watanzania raha zimewazidi mpaka wakifika mahali na wakiona mabango ya Rais wetu njiani yenye picha yake ,wanasimama kwa bashasha na tabasamu na kujipiga picha mbele ya mabango hayo huku wakifurahia na kumuombea Maisha marefu yeye heri na baraka tele kwake..
Kazi iendelee, mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Tusaidie kumpoteza, lipo ndani ya uwezo wako....anatuchosha balaa 🤣🤣🤣Lucas fanya kupotea jf kama wiki hivi ili watu wapumue
Ticket zinakatwa Kwa mtandao Kwa hiyo waliokata Kwa mtandao watarudishiwa pesa zao au?Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania Daktari Samia Suluhu Hasssan ameibua shangwe na kuteka hisia za watanzania wengi sana, baada ya Rais wetu mpendwa kwa moyo wake wa upendo, huruma, ukarimu na unyenyekevu.
kuamua kwa dhati ya Moyo wake na kwa pesa zake binafsi zinazotokana na jasho lake. Kuamua kuwalipia tiketi abiria wote waliokuwa wamefanya safari kwa mara ya kwanza na treni ya kisasa kabisa kutoka Dar kwenda Morogoro na Morogoro kwenda Dar.
Rais wetu anafanya hivyo kuwapa hamasa Watanzania kutumia usafiri huo wa kisasa, mzuri,salama,nafuu,wa haraka na wenye utulivu wa hali ya juu sana .ambao watu watakaa vizuri pasipo kuchoka wala uchovu wala bughudha wala hofu huku wakifurahia mazingira mazurii ya njiani na hali ya hewa nzuri na safi sana kwa afya ya Mwanadamu..
Rais wetu Anaendelea kugusa na kuteka mioyo ya Watanzania ,kwa matendo yake ya huruma na upendo kwa watu wote . Niambie ni kiasi gani furaha waliyo nayo abiria hao ambao wamepewa ofa hiyo buree kabisa na mama yao mpendwa mwenye moyo wa huruma kwa watu wake. Wameokoa kiasi gani cha pesa ndugu zangu Watanzania?
Hii ndio raha ya kuongozwa na Mama, raha ya kuwa na kiongozi mwenye upendo na ukarimu kwa watu,raha ya kuwa na kiongozi anayewajali na kuwathamini watu wake. Najisikia fahari sana na mwenye bahati sana kuongozwa na Rais Samia .ni historia kwagu nitakayoisimulia miaka ya baadaye panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu.
Imefika wakati watanzania raha zimewazidi mpaka wakifika mahali na wakiona mabango ya Rais wetu njiani yenye picha yake ,wanasimama kwa bashasha na tabasamu na kujipiga picha mbele ya mabango hayo huku wakifurahia na kumuombea Maisha marefu yeye heri na baraka tele kwake..
Kazi iendelee, mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hata mimi nimemwambia kuwa hilo lipo ndani ya uwezo wake.akitaka anifiche anapotaka yeye na kumkabidhi hadi moyo wangu awage anauangalia tu ..Tusaidie kumpoteza, lipo ndani ya uwezo wako....anatuchosha balaa 🤣🤣🤣
ephen_Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania Daktari Samia Suluhu Hasssan ameibua shangwe na kuteka hisia za watanzania wengi sana, baada ya Rais wetu mpendwa kwa moyo wake wa upendo, huruma, ukarimu na unyenyekevu.
kuamua kwa dhati ya Moyo wake na kwa pesa zake binafsi zinazotokana na jasho lake. Kuamua kuwalipia tiketi abiria wote waliokuwa wamefanya safari kwa mara ya kwanza na treni ya kisasa kabisa kutoka Dar kwenda Morogoro na Morogoro kwenda Dar.
Rais wetu anafanya hivyo kuwapa hamasa Watanzania kutumia usafiri huo wa kisasa, mzuri,salama,nafuu,wa haraka na wenye utulivu wa hali ya juu sana .ambao watu watakaa vizuri pasipo kuchoka wala uchovu wala bughudha wala hofu huku wakifurahia mazingira mazurii ya njiani na hali ya hewa nzuri na safi sana kwa afya ya Mwanadamu..
Rais wetu Anaendelea kugusa na kuteka mioyo ya Watanzania ,kwa matendo yake ya huruma na upendo kwa watu wote . Niambie ni kiasi gani furaha waliyo nayo abiria hao ambao wamepewa ofa hiyo buree kabisa na mama yao mpendwa mwenye moyo wa huruma kwa watu wake. Wameokoa kiasi gani cha pesa ndugu zangu Watanzania?
Hii ndio raha ya kuongozwa na Mama, raha ya kuwa na kiongozi mwenye upendo na ukarimu kwa watu,raha ya kuwa na kiongozi anayewajali na kuwathamini watu wake. Najisikia fahari sana na mwenye bahati sana kuongozwa na Rais Samia .ni historia kwagu nitakayoisimulia miaka ya baadaye panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu.
Imefika wakati watanzania raha zimewazidi mpaka wakifika mahali na wakiona mabango ya Rais wetu njiani yenye picha yake ,wanasimama kwa bashasha na tabasamu na kujipiga picha mbele ya mabango hayo huku wakifurahia na kumuombea Maisha marefu yeye heri na baraka tele kwake..
Kazi iendelee, mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Waliopanda wanafahamu vyema nini kimefanyika na ndio maana wameripuka kwa shangwe.Ticket zinakatwa Kwa mtandao Kwa hiyo waliokata Kwa mtandao wtarudishiwa pesa zao au?
🤣 🤣 🤣Tusaidie kumpoteza, lipo ndani ya uwezo wako....anatuchosha balaa 🤣🤣🤣
An offer to beloved Tz traveller, mom loves all, mom '25-'30Huyu mama mbona anahangaika na vitu vidogo kama hivi? So what?
Lucas fanya kupotea jf kama wiki hivi ili watu wapumue
Anazingatia maokoto🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Lucas kwani umekuaje eti?
🤣🤣huyu mama amekua akiteka mioyo ya watanzania kila kukicha wallah