Pre GE2025 Rais Samia aamsha shangwe baada ya kuwalipia tiketi abiria wote waliosafiri kwa treni ya kisasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Jinga kubwa, mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto liteketee
 
kiongozi makini, madhubuti na anaependwa sana, siku zote huibua ahuweni, shangwe, matumaini makubwa, faraja na furaha sana kwa waliokata tamaa anapochangamana na wananchi wanaompenda mahali na sehemu tofauti tofauti nchini 🐒

kwa zawadi ya leo, ameweka muhuri wa upendo na urafiki wa kweli miongoni mwa wanufaika wa surprise aliyo wafanyia abiria leo.....

VIVA our very able and loved President Dr.Samia Suluhu Hassan VIVA ...

God bless you 🙏
 
Spana Malaya
 
Huku matundu ya vyoo shuleni yanasubiri hisani ya ubalozi wa Japan...
 
Huku matundu ya vyoo shuleni yanasubiri hisani ya ubalozi wa Japan...
Matundu ya vyoo yanaendelea kujengwa kila mwaka.hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa idadi ya wanafunzi nayo imekuwa ikiongezeka mwaka hadi mwaka.
 
Hongera sana Mama
 
Hiyo ni rushwa dhahiri kwani kutoa motisha yoyote wkt nchi inaelekea kwenye uchaguzi ni kosa.
 
Hizo ni dalili za kutokukubalika,

Kiukweli, HATOGOMBEA!!
 
Hizo ni dalili za kutokukubalika,

Kiukweli, HATOGOMBEA!!
Mwaka huu lazima mchanganyikiwe .maana Mheshimiwa Rais wetu Anaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania na kuendelea kuungwa mkono na kukubalika kwa kila kundi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…