Rais Samia aapisha Viongozi wateule Ikulu Ndogo, Tunguu, Zanzibar, leo Septemba 1, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha viongozi wateule Ikulu dogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 01 Septemba, 2023.

Rais Samia amewakumbusha viongozi walioapa kuishi kiapo chao pia. Kwa wateule wapya, amewataka kupaza sauti kwenye matatizo ya wananchi kama walivyokuwa wanafanya wakiwa wabunge wa kawaida.

Rais Samia amesema Mabadiliko haya sio adhabu, bali yamefanyika ili kuongeza ufanisi na utendaji kazi kwenye maeneo mbalimbali yanayohusu wananchi, viongozi ni watumishi wa watu.

Amewaaomba viongozi hao kuwa wapole kwani upole sio ujinga, watulie watumikie watu.

Yeye mbona ameshindwa kuishi kwenye kiapo anavunja katiba kwa makusudi?
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha viongozi wateule Ikulu dogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 01 Septemba, 2023.

Rais Samia amewakumbusha viongozi walioapa kuishi kiapo chao pia. Kwa wateule wapya, amewataka kupaza sauti kwenye matatizo ya wananchi kama walivyokuwa wanafanya wakiwa wabunge wa kawaida.

Rais Samia amesema Mabadiliko haya sio adhabu, bali yamefanyika ili kuongeza ufanisi na utendaji kazi kwenye maeneo mbalimbali yanayohusu wananchi, viongozi ni watumishi wa watu.

Amewaaomba viongozi hao kuwa wapole kwani upole sio ujinga, watulie watumikie watu.

Anatakiwa yeye awe mfano wa kusikiliza maoni ya Watu badala ya kushupaza Shingo!! Yeye kama anawapuuza wanannchi ni unafiki kutaka wateule wake wsiwapuuze wananchi!! Charity begins at home bibi!!!
 
Back
Top Bottom