M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 1,242 Reaction score 4,813 Feb 18, 2023 #1 Unaumiza kichwa kutoa ahadi zisizo na tija. Toa ahadi ya Mil 5 kwa Mwl atayetoa matokeo mazuri. Toa ahadi kwa afande atakaye dhibhiti ujambazi. Toa ahadi kwa manesi . Ona sasa
Unaumiza kichwa kutoa ahadi zisizo na tija. Toa ahadi ya Mil 5 kwa Mwl atayetoa matokeo mazuri. Toa ahadi kwa afande atakaye dhibhiti ujambazi. Toa ahadi kwa manesi . Ona sasa
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 21,741 Reaction score 26,735 Feb 18, 2023 #2 Muuza Kangala said: Unaumiza kichwa kutoa ahadi zisizo na tija. Toa ahadi ya Mil 5 kwa Mwl atayetoa matokeo mazuri. Toa ahadi kwa afande atakaye dhibhiti ujambazi. Toa ahadi kwa manesi . Ona sasaView attachment 2521924 Click to expand... Huku kwenye Yanga na Simba kunalipa haraka.
Muuza Kangala said: Unaumiza kichwa kutoa ahadi zisizo na tija. Toa ahadi ya Mil 5 kwa Mwl atayetoa matokeo mazuri. Toa ahadi kwa afande atakaye dhibhiti ujambazi. Toa ahadi kwa manesi . Ona sasaView attachment 2521924 Click to expand... Huku kwenye Yanga na Simba kunalipa haraka.
n-propanol JF-Expert Member Joined Apr 7, 2019 Posts 5,349 Reaction score 7,000 Feb 18, 2023 #3 Awekeze nini, labda safari zake za nje ya nchi.
M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 1,242 Reaction score 4,813 Feb 18, 2023 Thread starter #4 AGITATOR said: Awekeze nini, labda safari zake za nje ya nchi. Click to expand... Duh!
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Feb 18, 2023 #5 Wanasiasa waache kujipenyeza kwenye soka hali sio poa
Lwiva JF-Expert Member Joined Apr 17, 2015 Posts 15,416 Reaction score 22,334 Feb 18, 2023 #6 Muuza Kangala said: Unaumiza kichwa kutoa ahadi zisizo na tija. Toa ahadi ya Mil 5 kwa Mwl atayetoa matokeo mazuri. Toa ahadi kwa afande atakaye dhibhiti ujambazi. Toa ahadi kwa manesi . Ona sasaView attachment 2521924 Click to expand... Unapoteza muda wako bure kushauri wakumb..fu
Muuza Kangala said: Unaumiza kichwa kutoa ahadi zisizo na tija. Toa ahadi ya Mil 5 kwa Mwl atayetoa matokeo mazuri. Toa ahadi kwa afande atakaye dhibhiti ujambazi. Toa ahadi kwa manesi . Ona sasaView attachment 2521924 Click to expand... Unapoteza muda wako bure kushauri wakumb..fu
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 24,314 Reaction score 38,919 Feb 18, 2023 #7 Naona kawachuza Simba hawa jamaa wamekuja na hasira zote
I Interested Observer JF-Expert Member Joined Mar 27, 2006 Posts 3,384 Reaction score 4,428 Feb 18, 2023 #8 Muuza Kangala said: Unaumiza kichwa kutoa ahadi zisizo na tija. Toa ahadi ya Mil 5 kwa Mwl atayetoa matokeo mazuri. Toa ahadi kwa afande atakaye dhibhiti ujambazi. Toa ahadi kwa manesi . Ona sasaView attachment 2521924 Click to expand... Kweli wewe muuza kangal, unajua michezo inaajiti vijana wangapi duniani? Zaidi ya serikali, ungekua na basketbal, soccer, riadha you know how much money will be earned and how many young people will benefit?
Muuza Kangala said: Unaumiza kichwa kutoa ahadi zisizo na tija. Toa ahadi ya Mil 5 kwa Mwl atayetoa matokeo mazuri. Toa ahadi kwa afande atakaye dhibhiti ujambazi. Toa ahadi kwa manesi . Ona sasaView attachment 2521924 Click to expand... Kweli wewe muuza kangal, unajua michezo inaajiti vijana wangapi duniani? Zaidi ya serikali, ungekua na basketbal, soccer, riadha you know how much money will be earned and how many young people will benefit?