Rais Samia, achana na mpango wa Ngorongoro

Ngorongoro ni mfupa mgumu sana,na ndiyo ulimngoa Jerry Silaa kule Wizara ya ardhi na kutupwa Mawasiliano!!
 
Huna hata like 1 hapa kuonesha unaongea shudu
 
Mkuu Jidu, Jidu La Mabambasi, naunga mkono hoja.
P
 
Hakuna cha waah hapo, sidhani kama itakuwa rahisi hivyo.
Hakuna ugumu wowote, ni mserereko tuu kama kawa...
Kwani Nape hukumsikia?, ulijua ni kweli he was joking?.

Kwa taarifa yako, uchaguzi wa 2025 kwenye urais, tayari it's a done deal, 2025 ni kukamilisha tuu taratibu za takwa la kikatiba kuwa uchaguzi wa rais kila baada ya miaka mitano.
P
 
Mkuu tushakula Chao... Haiwezekani Tena.
😭
 
Ameshachukua cha watu.....kujua wa tz wajinga ndio ndio yeye chura kiziwi......atajutaaa
 
Tatizo Familia Wanataka utajiri wa haraka Toka kwa mwarabu

Huyu anayewashauri kuchuma utajiri hararaka Toka Tanganyika anawapoteza
 
Nampenda sana rais Samia..
Ila ktk hhili nadhani washauri hawajafanya kazi yao vyema.

Itoshe kusema wamsaidie
( kwamba urais kama taasisi)
Urais ni mali yake binafsi,tusimpangie nini afanye na kutofanya...time will tel
 
Na waliopitisha Sheria ya wamasai kuwa ngorongoro ni Nyani au Nguruwe
 
Ndio wanaochukia ngorongoro au unataka kuwa ghilibu watu hapo na kufananisha na hiyo tenda ya kuwafanyisha kazi hao Arab contractors
 
Selou haikuwahi kuwa NP, Bali ilikuwa game reserve.
Na wandengereko hawakuhamishwa kamawwanavyo hamishwa wamasai.
 
Ni vile tu labda amekosa watu wazuri na pengine wanaomtakia mema, ila yeye binafsi alipaswa kujua namna gani nzuri ya kuongoza hii jamuhuri.
Kulingana na namna alivyo ingia madarakani, asili yake, jinsia yake chama chake si wengi wanampenda au wapo na amani na uongozi wake.
Alipaswa awe upande wa wananchi wengi ili kila anacho kifanya kiungwe mkono na wengi mfano Hayati Magufuli, yeye ingawa alikua ana mengi mabaya yaliofanyika katika uongozi wake, ila kwa vile alikuw upande wa wananchi mpaka siku ile anaingia kaburini kati ya watanzania 100 ni wawili ama mmoja ambaye hakusikitika.

Sasa mh wetu yeye kajitenga mbali kabisa na wananchi, anaingia mikataba na makubaliano ambayo kila anaesikia anabaki mdomo wazi, hapati utetezi wa umma anaouongoza, achilia mbali kauli zake tata mara kujifananisha na kiziwi asiye sikia lolote, mara kuita wakosoaji mbwa wapumbavu!!!
Labda kama hio 2025 hana mpango nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…