christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,841
- 4,531
Hivi kuna hifadhi nyingine Duniani ambayo binadamu anaishi na wanyama? Hichi nacho nikivutio.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kina mwijaku mkuu. Dah 😢Hivi Rais ana washauri wa aina gani? Marafiki au wale wanaoyapambanua mambo kwa undani na kumshauri kwa hekima, hata kama Rais ataona hayaoendezi?
Kuna wakati naogopa sana. Kuna watu hawaitakii mema taasisi ya uraisi kwa kutoa ushauri ambao lazima utakuja kuwa shubiri mbele ya safari.
Enzi zile za Zanzibar kujiunga na Jumuiya ya Kiislamu, Tanganyika kuna watu walitoka nje wazi wakasema katiba imekiukwa na wanataka Tanganyika yao. Kama sio Nyerere, naamini mengi yangekuwa tofauti.
Kwa chini chini kuna hizo hisia ambazo ni mtu asiyeona pekee atazifumbia macho.
Mojawapo ya maajabu ya ngorongoro ni hayo. Binadamu kuishi na wanyama pori.Hivi kuna hifadhi nyingine Duniani ambayo binadamu anaishi na wanyama? Hichi nacho nikivutio.
Tanzania is not for sale.Sasa hela za Waarab zilizoliwa itakuwaje?
Mkuu unaandika ukweli ..Ni vile tu labda amekosa watu wazuri na pengine wanaomtakia mema, ila yeye binafsi alipaswa kujua namna gani nzuri ya kuongoza hii jamuhuri.
Kulingana na namna alivyo ingia madarakani, asili yake, jinsia yake chama chake si wengi wanampenda au wapo na amani na uongozi wake.
Alipaswa awe upande wa wananchi wengi ili kila anacho kifanya kiungwe mkono na wengi mfano Hayati Magufuli, yeye ingawa alikua ana mengi mabaya yaliofanyika katika uongozi wake, ila kwa vile alikuw upande wa wananchi mpaka siku ile anaingia kaburini kati ya watanzania 100 ni wawili ama mmoja ambaye hakusikitika.
Sasa mh wetu yeye kajitenga mbali kabisa na wananchi, anaingia mikataba na makubaliano ambayo kila anaesikia anabaki mdomo wazi, hapati utetezi wa umma anaouongoza, achilia mbali kauli zake tata mara kujifananisha na kiziwi asiye sikia lolote, mara kuita wakosoaji mbwa wapumbavu!!!
Labda kama hio 2025 hana mpango nayo.
Wrong on this one.Hili nalo litapita, kuja kufika October 2025 watu watakuwa wameisha sahau hivyo ukifika ule muda ni
unachukuwa ...
unaweka...
... (malizia)
P
No, Hakuna bloodshed, mwanamke, a dear mother na bloodshed wapi na wapi?Wrong on this one.
Hili halitapita bro!
Watu wamejiapiza hadharani kuipinga serikali, haihitaji akili sana kuwa kitakachofuata nini- bloodshed.
Yote hayo kwa ajili ya nini?
Alisha kula fedha wa waarabu atafanyaje kuirudisha?Saba, mama Samia lazima ujue ushauri unaopewa kuhamisha wamasai Ngorongoro ni lazima utakudhuru. Wanaokushauri mwishowe hawatabeba msalaba wako.
Mimi ni kada wa CCM, na baada ya Magufuli nilimuunga mkono sana mama Samia. Lakini mama Samia lazima kula ile waingereza wanasema " a humble pie" au kukubali yaishe. Achana na mpango wa kuwahamisha wamasai Ngorongoro kwa nguvu.
Soma alama za nyakati.4)...watanzania wamepigwa na butwaa..."[emoji44][emoji44]
1951 wakazi wa kimaasai walihamishwa mbuga ya Serengeti ili kuwa "NP"...uhamisho huo ulifanywa na WAZUNGU....
SELOUS walihamishwa jamii ya WANDENGEREKO NA WAMATUMBI kupisha mbuga kuwa "NP"...ama kwa kuwa hawa si wamaasai (nilotics)?!! [emoji1787].
Hakuna cha butwaa bali hii TAHARUKI ni ya KUTENGENEZWA....
1951 hakukuwa na MITANDAO YA KIJAMII....
Ya Selous hayakuwa na MITANDAO YA KIJAMII wala WANAHARAKATI [emoji1787]
#No retreat No Surrender [emoji2956]
#Nchi Kwanza ,Samia anafuatia [emoji2956]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Tatizo vijana hawaelewi haya mambo!Hakuna ugumu wowote, ni mserereko tuu kama kawa...
Kwani Nape hukumsikia?, ulijua ni kweli he was joking?.
Kwa taarifa yako, uchaguzi wa 2025 kwenye urais, tayari it's a done deal, 2025 ni kukamilisha tuu taratibu za takwa la kikatiba kuwa uchaguzi wa rais kila baada ya miaka mitano.
P
machozi ya wamasai yatuharibie? yatuharibie nn kwa mfano? wamasai watoke ngorongoro tena wamecheleweshwa sana.Namuomba Mama Ngorongoro aachane nayo machozi ya Wamasai yatatuharibia sana..sio kama lipo tatizo wao kukaa huko wakati watu tumezaliwa tumewakuta.
Hawa wa Masai wameshaambiwa hakuna shida walikuwa wanakaa vizuri shida yao wanakaribisha wageni na mifugo yao katika mbuga na hili linachangia kuharibu hifadhi kuu, kuna haja ya kupitiwa kila mtu wale waliokuwa wakazi wa miaka na miaka wakae lakini wageni wote warudi walikotoka pamoja na wale waliotoka Kenya.Suala la kuhamisha watu wote Ngorongoro halijapokewa vizuri na si tu jamii ya wamasai, bali watanzania kwa ujumla.
Kwanza, hapakuwepo utashi wa kisiasa kulifanya eneo lote la Ngorongoro kuwa Human Free.
Pili, wakazi wa maeneo hayo wapo, na sijui kuwa wameshirikishwa.
Tatu, Govt Decrees bila utashi wa kisiasa, unakuwa hugely unpopular.
Nne, watanzania kwa ujumla wamepigwa butwaa nauamuzi huo wa serikali ambao kimsingi unawapiga marufuku watu kuishi maeneo ya Ngorongoro.
Tano, tunakumbuka Operation Vijiji vya Ujamaa mwanzoni mwa miaka ya 70. Rais Aboud Jumbe Mwinyi alifanyiwa fujo mbele ya uso wake kule Kyela, serikali ilipotaka kuwahamisha wananchi kwa lazima kwenda viijiji vya ujamaa kwa nguvu.
Sita, tunaelekea mwaka wa uchaguzi. Serikali iliyopo madarakani inategemea nini katika hili, an unpopular move?
Saba, mama Samia lazima ujue ushauri unaopewa kuhamisha wamasai Ngorongoro ni lazima utakudhuru. Wanaokushauri mwishowe hawatabeba msalaba wako.
Mimi ni kada wa CCM, na baada ya Magufuli nilimuunga mkono sana mama Samia. Lakini mama Samia lazima kula ile waingereza wanasema " a humble pie" au kukubali yaishe. Achana na mpango wa kuwahamisha wamasai Ngorongoro kwa nguvu.
Pia soma:Kuelekea 2025 - Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyang’anywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe
Sikio la kusikia na lisikie.Ni vile tu labda amekosa watu wazuri na pengine wanaomtakia mema, ila yeye binafsi alipaswa kujua namna gani nzuri ya kuongoza hii jamuhuri.
Kulingana na namna alivyo ingia madarakani, asili yake, jinsia yake chama chake si wengi wanampenda au wapo na amani na uongozi wake.
Alipaswa awe upande wa wananchi wengi ili kila anacho kifanya kiungwe mkono na wengi mfano Hayati Magufuli, yeye ingawa alikua ana mengi mabaya yaliofanyika katika uongozi wake, ila kwa vile alikuw upande wa wananchi mpaka siku ile anaingia kaburini kati ya watanzania 100 ni wawili ama mmoja ambaye hakusikitika.
Sasa mh wetu yeye kajitenga mbali kabisa na wananchi, anaingia mikataba na makubaliano ambayo kila anaesikia anabaki mdomo wazi, hapati utetezi wa umma anaouongoza, achilia mbali kauli zake tata mara kujifananisha na kiziwi asiye sikia lolote, mara kuita wakosoaji mbwa wapumbavu!!!
Labda kama hio 2025 hana mpango nayo.
Huyu mngemuuliza kama anaweza kuwa Rais?sasa nyie mmemlazimisha😂😂😂Suala la kuhamisha watu wote Ngorongoro halijapokewa vizuri na si tu jamii ya wamasai, bali watanzania kwa ujumla.
Kwanza, hapakuwepo utashi wa kisiasa kulifanya eneo lote la Ngorongoro kuwa Human Free.
Pili, wakazi wa maeneo hayo wapo, na sijui kama wameshirikishwa.
Tatu, Govt Decrees bila utashi wa kisiasa, unakuwa hugely unpopular.
Nne, watanzania kwa ujumla wamepigwa butwaa nauamuzi huo wa serikali ambao kimsingi unawapiga marufuku watu kuishi maeneo ya Ngorongoro bila kueleza sababu za kimsingi.
Tano, tunakumbuka Operation Vijiji vya Ujamaa mwanzoni mwa miaka ya 70. Rais Aboud Jumbe Mwinyi alifanyiwa fujo mbele ya uso wake kule Kyela, Mbeya, serikali ilipotaka kuwahamisha wananchi kwa lazima kwenda viijiji vya ujamaa na kwa kutumia nguvu.
Sita, tunaelekea mwaka wa uchaguzi. Serikali iliyopo madarakani inategemea nini katika hili, an unpopular move creates unnecessary resentment?
Saba, mama Samia lazima ujue ushauri unaopewa kuhamisha wamasai Ngorongoro utakuwa na matokeo ya kudhuru kisiasa. Wanaokushauri mwishowe hawataubeba msalaba wako.
Mimi ni kada wa CCM, na baada ya Magufuli nilimuunga mkono sana juhudi za mama Samia.
Lakini kwa hili la sasa, mama Samia lazima kula ile waingereza wanasema " a humble pie" au kukubali yaishe. Achana na mpango wa kuwahamisha wamasai Ngorongoro kwa nguvu.
Pia soma:Kuelekea 2025 - Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyang’anywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe
Sio kwa Tanzania hii. Atashinda tena kwa kishindo we subiri ujionee mauzauzaHili litamvurugia pakubwa sana 2025.
Goli la mkonoSio kwa Tanzania hii. Atashinda tena kwa kishindo we subiri ujionee mauzauza
" Chura kiziwi"Suala la kuhamisha watu wote Ngorongoro halijapokewa vizuri na si tu jamii ya wamasai, bali watanzania kwa ujumla.