Unayekaa vijiweni na kufuata maneno ya vijiweni ni wewe bila shaka......
Hata ukitumia vizuri akili yako ya kawaida tu (common sense) na ukachanganya na elimu yako ya darasa la IV uliyopata huko Mbinga - Ruvuma kwenu, utaweza kuelewa kirahisi tu kwamba, motives behind this whole saga ni tamaa na ulafi wa pesa tu za kuhongwa na ufisadi toka kwa viongozi wa serikali yako hii chini ya Rais Samia Suluhu Hassan na CCM yenu...........
Rais Hayati Ally Hassan Mwinyi alifanikiwaga kuuza pande la ardhi ya Loliondo kwa mwarabu miaka ile na kufanikiwa kwake by then ni kwa sababu tu watu walikuwa bado wamelala ktk usingizi wa ujinga na kukosa ufahamu/uelewa na uduni wa teknolojia ya mawasiliano wakati huo.......
Aidha Hayati Rais Ally Hassan Mwinyi alifanikiwa kwa sababu hakujaribu kuwahamisha wamasai toka ktk ardhi yao hiyo ya asili. Alichukua eneo kubwa la wazi na wachache waliokuwepo hakuwa - relocate badala yake walisogezwa pembeni lakini ktk mazingira hayohayo ya ardhi ya asili yao......
Lakini huyu bibie (Samia) yeye ni hatari sana. Ni mlafi wa mapesa ya damu na dhuluma kuliko kawaida. Yeye tamaa yake na ya wenzake huko ni kuifuta kabisa jamii ya kimasai ktk eneo hilo kwa kuwaua kwa njaa na magonjwa ama kuwafukuzia wahamie nchi za jamii zingine mbali kule kilometa karibu 550 Msomera Tanga.......!!
Kwa akili za kawaida tu unashindwa nini kuelewa kuwa dhamira ya huyu mama ni kuuza kwa huyo wanayemwita "mwekezaji wa kiarabu" pande la ardhi ya Ngorongoro na rasrimali zote zilizomo humo....?
Tumia akili yako vuzuri kufikiri kabla ya kuandika........!!