Rais Samia, achana na mpango wa Ngorongoro

Kina mwijaku mkuu. Dah 😢
 
Mkuu unaandika ukweli ..
Jamaa hawapendi. Take care
 
Hili nalo litapita, kuja kufika October 2025 watu watakuwa wameisha sahau hivyo ukifika ule muda ni
unachukuwa ...
unaweka...
... (malizia)
P
Wrong on this one.
Hili halitapita bro!
Watu wamejiapiza hadharani kuipinga serikali, haihitaji akili sana kuwa kitakachofuata nini- bloodshed.
Yote hayo kwa ajili ya nini?
 
Alisha kula fedha wa waarabu atafanyaje kuirudisha?
Alishawaaminisha waarabu kuwa watanzania ni maboya
 
Soma alama za nyakati.
 
Tatizo vijana hawaelewi haya mambo!
Nape ana matatizo yake lakini si muongo muongo!
 
Namuomba Mama Ngorongoro aachane nayo machozi ya Wamasai yatatuharibia sana..sio kama lipo tatizo wao kukaa huko wakati watu tumezaliwa tumewakuta.
 
Hawa wa Masai wameshaambiwa hakuna shida walikuwa wanakaa vizuri shida yao wanakaribisha wageni na mifugo yao katika mbuga na hili linachangia kuharibu hifadhi kuu, kuna haja ya kupitiwa kila mtu wale waliokuwa wakazi wa miaka na miaka wakae lakini wageni wote warudi walikotoka pamoja na wale waliotoka Kenya.
 
Sikio la kusikia na lisikie.
 
Huyu mngemuuliza kama anaweza kuwa Rais?sasa nyie mmemlazimisha😂😂😂
 
" Chura kiziwi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…