Rais Samia, achana na mpango wa Ngorongoro

" Chura kiziwi"
 
" Chura kiziwi"
 
naomba Rais amuhamishie ngorongoro maj gen Gaguti awe mkuu wa mkoa, RPC RSO na DSO nao wabadilishwe, hawa wangepata taarifa kwa wakati na kuchukua hatua hali isingefikia hapo, maendeleo hayaji kwa kubembelezana hivi
 
Ni kma wewe unavyobembelezwa kulipa kodi.
 
Mwache usimstue azidi kupuyanga
 
Kuwahamisha watu Ngorongoro itasaidia Mama kupata kura nyingi 2025. Aendelee kuupiga mwingi.
 
Ngorongoro sio ya Samia ni Mali ya Tanzania ,watu wapishe uhifadhi Kwa maslahi ya Nchi.

Hii tabia ya kabila Fulani kudia XY ni Mali Yao itazaa shida ya ukabila eg watu wa Mtwara na gesi Yao nk.

Samia anapita ila Ngorongoro inatakiwa kulindwa Kwa maslahi ya Nchi sio Masai tuu.👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C_AMnE8gICU/?igsh=ZTlhYzV1OG92aDF0
 
Serengeti na Ngorongoro sio natural heritage kama mlima kilimanjaro, ilitengenezwa na wajerumani, kabla ya hapo yalikuwa makazi ya wamasai wakurya na wanyantuzu, wajerumani waliamua kuanzisha hifadhi ya ngorongoro na serengeti kwa ajili ya shughuli za utalii, kingine ilikuwa kutenganisha makazi ya wamasai na wanyantuzu waliokuwa kwenye vita vikali vya kuibiana ng'ombe, na tatu ni uhidhadhi wa madini ya vito kama tanzanite blue sulphire green garnet na marble. Ikumbukwe eneo linalohitajika kwa uhifadhi sio ngorongoro yote, ni njia za mapito ya wanyama na maeneo ya shughuli za kitalii, na hawa wamasai wamekuwa wakitumika kama maonyesho na vivutio vya watalii kwa malipo kidogo yasiyokidhi mahitaji
 
Kura wataiba, ushindi si lazima uwe wa kura za kwenye Sanduku
 
Nyumba ,shamba ,milioni 10 bado,umeme ,maji vyote unapewa bado unataka ukaae mbugani, waache ubabaishaji waamishwe kwa faida yao,wengi wao ni wafugaji wa mifugo wa watu
 
Hili litamvurugia pakubwa sana 2025.

Kuvuruga alishavurga zamani ..... anategemea tu system kumrudisha madarakani 2025. pangua pangua ya kila siku ni sehemu ya huo mkakati.

Nevertheless, Maza kishapiga deal na Wajomba zake .... kujitoa itakuwa ngumu. Atatufanyia kama alivyofanya kwenye Deal la DPW.
 
Kwa suala la Ngorongoro nasimama na Samia yupo sahihi. Wabongo wanapenda pinga oinga tu bila tathmini.
 
Nyumba ,shamba ,milioni 10 bado,umeme ,maji vyote unapewa bado unataka ukaae mbugani, waache ubabaishaji waamishwe kwa faida yao,wengi wao ni wafugaji wa mifugo wa watu
hata tumifugo twenyewe ni tukondoo tulitodhoofika, ifike sehemu tuweke maslahi ya taifa mbele, kuna watu wako kama peter msigwa wanajiona wana akili kuliko watu wengine na ukiwasikiliza hawana cha maana, leo kilamtu anafurahia matunda ya sgr na bwawa la nyerere hao wapingaji ndio wamekuwa wanufaika namba moja, nahili hao wapingaji ndo watakuwa wanufaika namba moja
 
Nyumba ,shamba ,milioni 10 bado,umeme ,maji vyote unapewa bado unataka ukaae mbugani, waache ubabaishaji waamishwe kwa faida yao,wengi wao ni wafugaji wa mifugo wa watu
Maisha na raha za maisha ya mbugani kwa wewe uliyezaliwa mtaa wa Congo huwezi kuzijua.
Ndio maana mtaani uliko huoni mmasai wa Ngorongoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…