Rais Samia aenda kumsalimia mama yake na hayati Magufuli, leo Oktoba 15, 2022

Rais Samia aenda kumsalimia mama yake na hayati Magufuli, leo Oktoba 15, 2022

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
0d265c55-8a4a-4648-a352-0c009aa4406c.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimsalimia Bibi Suzana Magufuli (Mama Mzazi) wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake Chato Mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022.

7d600c7f-27d8-4e06-aebd-9e0b0ee288e6.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiomba dua kwenye Kaburi la Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake Chato Mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022.
 
Hili nalo litaanzishiwa zengwe na yule mkimbizi wa Canada, ili aendelee kupewa hifadhi nchini humo. Wale wenye kujua mambo ya ukimbizi, wanaifaham sana hii strategy.

Mfano Nigeria, Cameroon, Congo nk, kuna watu wamekuwa wakiyafadhili makundi ya waasi katika nchi zao ili wao waendelee kupewa hifadhi za kikimbizi katika nchi za Ulaya, America, Australia nk.
 
Baada ya tafrani aliyo leta Kabendera Erick ni vema Mh.Samia akajisafisha na kampeni ile ya wachafuzi wa legacy.
Hongera umeona mbali Madam President.
 
Aiseee kama namuona Nape Nnauye alivyo nuna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
View attachment 2387838
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimsalimia Bibi Suzana Magufuli (Mama Mzazi) wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake Chato Mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022.

View attachment 2387841
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiomba dua kwenye Kaburi la Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake Chato Mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022.
Daah
Wwnasiasa aisee
 
Magufuli anashika namba mbili, namba moja inashikiliwa na Kinjekitile ngwale, kwa kupelekea mauaji ya Watanganyika wengi.

Kinjekitile aliudanganya umma kwa kuwaambia risasi zitakuwa Maji na maelfu waliangamia.

Magufuli auliudanganya umma kuwa ameishinda corona na kupelekea maelfu kuangamia.

Swali langu je na Kinjekitile Ngwale nae ajengewe sanamu la shaba ili kumuenzi jinsi alivyowaingiza "chaka" na kuwaangamiza Wazee wetu?

Tuendelee kuwaenzi wale wote wanaotuletea maangamizi.
 
Anazuga tu huyo maza

Akionekana mkoani mara moja ujue ana safari tatu za Ulaya next week
 
Ahsante kwa taarifa, Angela Kairuki siku hizi naona yupo bega kwa bega na mama Samia...
 
Hili nalo litaanzishiwa zengwe na yule mkimbizi wa Canada, ili aendelee kupewa hifadhi nchini humo. Wale wenye kujua mambo ya ukimbizi, wanaifaham sana hii strategy.

Mfano Nigeria, Cameroon, Congo nk, kuna watu wamekuwa wakiyafadhili makundi ya waasi katika nchi zao ili wao waendelee kupewa hifadhi za kikimbizi katika nchi za Ulaya, America, Australia nk.
Tunapozungumzia mama mwenda wewe unaleta mautani yanini!
 
Back
Top Bottom