Rais Samia aenda kumsalimia mama yake na hayati Magufuli, leo Oktoba 15, 2022

Rais Samia aenda kumsalimia mama yake na hayati Magufuli, leo Oktoba 15, 2022

To be sincerely honest in my humble opinion without being sentimental of course without offending anyone who thinks differently from my point of view and without hiding any thoughts in my mind and without lies,to the actual truth with my clear open mind and clean heart,expressing what ever is embedded inside me for a long time which I didn't say just because I was nervous.But Today, by gathering all the courage and motivation, I just want to say that I actually feel and think that I have absolutely nothing to say
 
Wale chawa wanaotukana hapa ili wapewe vyeo sasa sijui wapo na hali gani.

Kumtusi Magufuli hakuwahakikishii mlo wenu.
 
Wewe waislam hatuna chuki km wewe

Mwislamu gani unachuki za kidini hivi we
Magufuli anashika namba mbili, namba moja inashikiliwa na Kinjekitile ngwale, kwa kupelekea mauaji ya Watanganyika wengi.

Kinjekitile aliudanganya umma kwa kuwaambia risasi zitakuwa Maji na maelfu waliangamia.

Magufuli auliudanganya umma kuwa ameishinda corona na kupelekea maelfu kuangamia.

Swali langu je na Kinjekitile Ngwale nae ajengewe sanamu la shaba ili kumuenzi jinsi alivyowaingiza "chaka" na kuwaangamiza Wazee wetu?

Tuendelee kuwaenzi wale wote wanaotuletea maangamizi.
 
Mwislamu gani unachuki za kidini hivi
Wapi nimesema ninachuki za kidini mkuu?
stare-angry.gif
 
View attachment 2387838
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimsalimia Bibi Suzana Magufuli (Mama Mzazi) wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake Chato Mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022.

View attachment 2387841
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiomba dua kwenye Kaburi la Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake Chato Mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022.
Hongera sana Rais Samia Suluhu kwa kuonyesha upendo
 
Kwenye kitabu kitakatifu ninachokiamini mimi, kimesema:

"Mmesikia kwamba imenenwa, Umpende jirani yako, na, Umchukie adui yako;
44 lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi,
45 ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.
46 Maana mkiwapenda wanaowapenda ninyi mwapata thawabu gani? Hata watoza ushuru, je! Nao hawafanyi yayo hayo?"
 
Rais Samia amekwenda kumsalimia mama yake, kwani mama yake Samia yupo huko Chato?

Amekwenda kumsalimia na Magufuli? How?
Hebu nyosha lugha yako ueleweke na waswahili wote!
 
Rais Samia amekwenda kumsalimia mama yake, kwani mama yake Samia yupo huko Chato?

Amekwenda kumsalimia na Magufuli? How?
Hebu nyosha lugha yako ueleweke na waswahili wote!
Jifunze kusoma na kuelewa itakusaidia sana.
 
Back
Top Bottom