Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Si faraja kwa familia tu bali kwa taifa zima.Mama amefanya jambo jema sana kumjulia Hali mama mzazi wa JPM. Inatoa faraja kubwa sana kwenye familia
DaahView attachment 2387838
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimsalimia Bibi Suzana Magufuli (Mama Mzazi) wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake Chato Mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022.
View attachment 2387841
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiomba dua kwenye Kaburi la Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake Chato Mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022.
akiomba dua kwenye Kaburi
Huyo uchwara atazidi kuchakaa baada ya kuona hivi.Chakaza wa Bavicha atakasirika sana
Hamkosi la kusema, hata kusalimia nayo unaweka siasaMmoja mmoja wanaanza kwenda kutubu.
Tunapozungumzia mama mwenda wewe unaleta mautani yanini!Hili nalo litaanzishiwa zengwe na yule mkimbizi wa Canada, ili aendelee kupewa hifadhi nchini humo. Wale wenye kujua mambo ya ukimbizi, wanaifaham sana hii strategy.
Mfano Nigeria, Cameroon, Congo nk, kuna watu wamekuwa wakiyafadhili makundi ya waasi katika nchi zao ili wao waendelee kupewa hifadhi za kikimbizi katika nchi za Ulaya, America, Australia nk.