A man with one idea
Senior Member
- Jul 18, 2022
- 126
- 268
Magufuli anashika namba mbili, namba moja inashikiliwa na Kinjekitile ngwale, kwa kupelekea mauaji ya Watanganyika wengi.
Kinjekitile aliudanganya umma kwa kuwaambia risasi zitakuwa Maji na maelfu waliangamia.
Magufuli auliudanganya umma kuwa ameishinda corona na kupelekea maelfu kuangamia.
Swali langu je na Kinjekitile Ngwale nae ajengewe sanamu la shaba ili kumuenzi jinsi alivyowaingiza "chaka" na kuwaangamiza Wazee wetu?
Tuendelee kuwaenzi wale wote wanaotuletea maangamizi.
Wapi nimesema ninachuki za kidini mkuu?Mwislamu gani unachuki za kidini hivi
Wapi nimesema ninachuki za kidini mkuu?
View attachment 2387986
Nionyeshe wapi nimeshutumu dini?.Tunakuonyesha tu ulivyo tutusa
Kile kitabu kimeharibu ubongo wako
Udini utakuzeesha
Unatia huruma japo we won't expose
Nionyeshe wapi nimeshutumu dini?.
Laa sivyo huna Hoja.
Umeishiwa na Hoja nakupuuza rasmi.Udini umekuharibu ubongo
Hongera sana Rais Samia Suluhu kwa kuonyesha upendoView attachment 2387838
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimsalimia Bibi Suzana Magufuli (Mama Mzazi) wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake Chato Mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022.
View attachment 2387841
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiomba dua kwenye Kaburi la Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake Chato Mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022.
Jifunze kusoma na kuelewa itakusaidia sana.Rais Samia amekwenda kumsalimia mama yake, kwani mama yake Samia yupo huko Chato?
Amekwenda kumsalimia na Magufuli? How?
Hebu nyosha lugha yako ueleweke na waswahili wote!