Masikini chawa Lucas mwashambwa ameendelea kupuuzwa.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART).
Miongoni mwa watu hao ni Daniel Chongolo aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe na Waziri Kindamba aliyeteuliwa kuwa mkurugenzi mkuu wa UDART.
View attachment 2929156View attachment 2929157
View attachment 2929163
View attachment 2929158View attachment 2929159View attachment 2929160View attachment 2929162View attachment 2929164
Geuza hilo karatasi lazima utajiona mkuu.I don't see my name,shida iko wapi? Kila la kheri kwa walioteuliwa nawatakia utumishi mwema
Kihamia katenguliwa tena?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART).
Miongoni mwa watu hao ni Daniel Chongolo aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe na Waziri Kindamba aliyeteuliwa kuwa mkurugenzi mkuu wa UDART.
View attachment 2929156View attachment 2929157
View attachment 2929163
View attachment 2929158View attachment 2929159View attachment 2929160View attachment 2929162View attachment 2929164
Sio ajabu kasahau, huyu mama hamna kituKuna kitu Sijakielewa Kwenye wilaya Yangu ya Pangani..
Mkuu wa wilaya Kahamishwa ila sijaona aliyepelekwa huko..
Na Mkurugenzi alipewa Mapumziko na makonda sioni kama anatajwa tena na simuoni kwenye mkeka mpyaa
Bwashe BAWACHA wamefanyaje?Ni jambo jema
Ila BAWACHA Mungu anawaona 😂
Anaendelea kuota menoMasikini chawa Lucas mwashambwa ameendelea kupuuzwa.
Mimi siku hizi wala sioni faida ya kulalamikia waziri fulani au kiongozi yeyote kwa sababu bila kufumua mfumo wa uongozi hata abadilishe namna gani ni bure.Hawa ni wadogo sana kwenye mitandao system.
Mbona hawagusi hawa mawaziri wanao lalamikiwa? Au hupasiana pande?