Rais Samia afanya Mabadiliko madogo ya uongozi Serikalini, amteua Daniel Chongolo kuwa Mkuu wa mkoa wa Songwe

Rais Samia afanya Mabadiliko madogo ya uongozi Serikalini, amteua Daniel Chongolo kuwa Mkuu wa mkoa wa Songwe

Kweli uchawi upo, yaani pamoja na kwamba Lain E. Kamendu anastaafu mwezi huu wa tatu, bado amebaki kuwa DED huko Kilolo. Dah, nimejisikia vibaya kwa rafiki yangu. A very humble Person Peres Magiri kuhamishwa Kilolo na kupelekwa huko Nyasa.
 
Nimekodoa macho mpaka yananiuma Kwa kumtafuta CHAWA WA MAMY.
MAYELE
LUCAS Mzee wa contact🐍.
Siasa buana
 
Wakurugenzi wanapangwa ili kwenye Uchaguzi wamsaidie Mama?

Safari hii tutalala kwenye Vituo vya kuhesabia kura.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART).

Miongoni mwa watu hao ni Daniel Chongolo aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe na Waziri Kindamba aliyeteuliwa kuwa mkurugenzi mkuu wa UDART.
View attachment 2929156View attachment 2929157
View attachment 2929163

View attachment 2929158View attachment 2929159View attachment 2929160View attachment 2929162View attachment 2929164
Hivi Mayalla na Lucas Mwaashambwa bado hawana mvuto?
 
Yaani Tandahimba ni mwendo wa kwata tu, akitoka kamanda Soja anaingia Luteni Kishoka.....!
 
Back
Top Bottom