Kiungopunda
JF-Expert Member
- Oct 24, 2023
- 1,349
- 3,145
Unatoka kahama wewe.Jambo jema
Kwa mara ya kwaza mkurugenzi nitokako kahamishwa
Saafi saana
Alishakuwa mkurugenzi TTCL usisahauSijaona anayechukua nafasi ya Majaliwa Tanga, na pia alikopelekwa aliyekuwa DC wa Muheza.
Kutoka ukuu wa mkoa hadi ukurugenzi wa shirika.
Nimefurahia uhamisho wakeFinally Mtatiro kang'oka Tunduru...
Hivi Mayalla na Lucas Mwaashambwa bado hawana mvuto?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART).
Miongoni mwa watu hao ni Daniel Chongolo aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe na Waziri Kindamba aliyeteuliwa kuwa mkurugenzi mkuu wa UDART.
View attachment 2929156View attachment 2929157
View attachment 2929163
View attachment 2929158View attachment 2929159View attachment 2929160View attachment 2929162View attachment 2929164
Atakula uchawa wakeMasikini chawa Lucas mwashambwa ameendelea kupuuzwa.
Arudi udsm kufundisha
Hawezi pewa hata dekio la choo Cha wilaya yoyote awe mfanya usafi Bata huyoMasikini chawa Lucas mwashambwa ameendelea kupuuzwa.
Tanga kapelekwa Burhani aliyekuwa Rc Tabora.Maza hagusi Tanga, Pwani na Zanzibar hata kidogo
Hahahaha asante mkuu.Hongera sana mkuu kwa kuteuliwa kuwa mkurugenzi mtendaji wa jiji
SorryRose Manumba yupo Malinyi dc na sio Mlimba dc.
Sijui mkuu. Sina infoSumbawanga je? Imekuwaje
Nimeshangaa yani Zuhura sijui ana futuru tuu?Nafikiri wamechanganya. Ngewe yupo LATRA na Kihamia ni DART.
Kurugenzi ya Mawasiliano hawapo makini.
Hujaelewa watu kutoka Pwani, Tanga na Zanzibar wanaharibu lakini hawatolewiTanga kapelekwa Burhani aliyekuwa Rc Tabora.