Rais Samia afanya mabadiliko Wakuu wa Mikoa. Ally Hapi, Kigaigai, Kafulila na Eng. Robert Gabriel watemwa

Issue ya Chalamila ilikuwa ni misinterpretation tu ya kauli yake. Lkn huyu Happi, atarudi endapo ikitokea masalia ya utawala wa jpm yakibahatika kushika nchi.
Kuwashawishi Kina kinana, membe, samia, makamba, na JK wakupe nchi.😃
 
Wakapumzike tuu. Maisha ni kubadilishana vijiti. Umepata dhamani ya ukuu wa mkoa/wilaya/uwaziri nk kwa miaka 2-3 au zaidi na bado unalalamika?

Hizi kazi zitangazwe watu washindanishwe au ziwe za mkataba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…