Rais Samia afanya mabadiliko Wakuu wa Mikoa. Ally Hapi, Kigaigai, Kafulila na Eng. Robert Gabriel watemwa

CCM huwa hawasahauliani mkuu, wanapeana ulaji kila inapobidi. Hawa wote unaowaona wamewekwa nje ya track, mbeleni kidogo utawaona kwenye system tena.

Mpaka kizazi kinazeeka ni mwendo wa kubadilishana madaraka tu.
 
Mtaka very brightly, tatizo nafasi za kuteua ni za kiutashi sio ubora ndio maana siku hizi hata akina mchopanga wachekeshaji wanateuliwa that is nonsense.
 
Kiukweli sukuma gang ndiyo imetoka na kujifia mazima.
Na akitokea mtu mwenye falsafa hizo akashika nchi vijana watafanya kazi kwa ref za kina Sabaya na Hapi.
 
Ma DC na wakurugenzi watakuwa hawana amani kabisa asubuhi ya leo. Mtu hata chai kunywa aipandi hasa kwa wale ambao awajatokea serikalini na pressure juu.

Tabu yote hii ya nini yaani kila ukitoka kwenye media Rais wetu mnapendwa katupa mabilioni ya kujenga sijui nini kutwa kujipendekeza na ajira yenyewe haina guarantee.

Vijana tujifunze kujiajiri
 
Basi Kafulila alipoteuliwa nilikuwa na shida fulani nilimpigia simu mara 70 na text 10 hakujibu mpaka leo anatenguliwa. Nadhani ajifunze siyo kila mtu wa anayekupigia simu ana njaa
Wakati unapiga simu mara 70 ulikuwa na akili timamu kweli? Njaa mbaya sana leo katenguliwa inakuja kujiaibiisha huku jukwaani. Mpigie Tena ma 70.
 
Natabiri Kafulila kwenda wizarani
 
kazi ya ukoo wa mkoa, wilaya au Das ni ngumu sana..wachawi kila kona hadi dereva wako nae anatumika kukuchoma haha..wakuda kibao tena wingine wanatuma sms magogoni..
Unganisha na uchawi kutoka kwa mbunge, mkurugenzi wa jiji, wazee wa baraza, sasa ukute unatokea kwenye mkoa una mbunge kama mr. darasa la saba, na mkuu wa wilaya kama gambo..aloo bora upewe hata taasisi ya kilimo cha kumwagilia utaenjoy maisha.
 
Afande na Poti wangu Ile Kasoro yako nyingine sitoisema hapa kwani hata Mimi naipenda mno na ndiyo Udhaifu wangu Mkuu. 😁😁😁😁😁
 
MABADILIKO
1. Kilimanjaro Kigaigai[emoji777]
2. Simiyu Kafulila[emoji777]
3. Mwanza Gabriel [emoji777]
4. Mara Hapi[emoji777]
5. Mtwara Gaguti[emoji777]
6. Ruvuma Ibuge[emoji777]
7. Kagera Mbuge[emoji777]
8. Singida Mahenge[emoji777]
9. Rukwa Mkirikiti[emoji777]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa upande wangu naona haya mabadiliko ya Mh. Anthony Mtaka yalikuwa hayastahili kwa sasa . Sio kwamba mamlaka imekosea , hapana ila naona kama dodoma especially wamachinga na bodaboda na vijana bado walikuwa wanamuhitaji.

Ila zaidi watu wa Tanga tunahitaji mtu kama huyu πŸ’ͺ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…