Rais Samia afanya makubwa, wafanyakazi walipiwa mikopo yao

Rais Samia afanya makubwa, wafanyakazi walipiwa mikopo yao

Huyu mama ajengewe mnara kwa kweli,

Hajawahi kutokea kiongozi wa hivi tokea hii nchi iumbwe aiseeeee,

ALLAH azidi kumbariki na kumuongezea zaidi na zaidi na zaidi na zaidi na zaidiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Kuna mstari mwembamba saana baina ya chawa(wa kiume) na uPUNGA
 
Habari wadau naomba ushauri. Deni langu la bodi ya mikopo kwenye salary slip ni kiasi kikubwa kuliko kwenye loan statement ya bodi ya mikopo
 
Alafu yeye uyooo kaenda kutumia pesa France na Belgium
Ulitaka afanye Nini mkuu ?? huyu ni rais hivyo Kuna baadhi ya safari haziepukiki,acheni kulalama,mbona hata enzi za magu mama alisafiri Sana tu akimuwakirisha JPM!!?

Rais sio mwenyekiti wa kitongoji!!
 
ni Haki yenu watumishi kurudishiwa tabasamu maana mlinuna na kunung'unila kwa kipindi mrefu sana.....huo ni mwanzo mzuri.
 
Umecheki salary slip leo?
mimi ni mkulima wa maharagwe, wateja wangu wakubwa na Watumishi wa Seriklini, hivyo mambo yao yakiwa mazuri nami biashara inatoka.
kwakweli watumishi ndio husababisha mzunguko wa fedha......maana matumizi yao huzunguka pale walipo.
 
Hakika Nani Kama mama,hakika anaupiga mwingi! ,Pongezi kwako mama wetu mpedwa!! Mungu akupe na kukujalia kila lililo la kheri.!!

Ni hivi kwa wale watumishi wa umma,hebu chungulieni salary slip zenu hakika mtaona Kuna tofauti kubwa sana imefanywa na huyu rais wa watu ,yaani Kama una mkopo Bank Au Loan Board.

Chukua kiasi cha mkopo wa mwezi 12/2021 toa kiasi cha mkopo mwezi 1/2022. Utagundua kuwa umelipiwa Mara Mbili ya kiasi ambacho huwa unalipa kila Mwezi, hapa Ni kwamba Kama mkopo wako ulitarajia utaisha mwezi wa pili ,basi mwezi huu umeshalipiwa ,hivyo hudaiwi.

Sisi wafanyakazi wako tunaahidi kumuunga kwa kila unalolifanya ,Samia Safi!!!,Nani Kama mama????

# kazi iendelee!!
Mama Samia Rais wetu mpendwa pamoja na Safu yake ya watendaji, tunawaombea wote Mungu awalindi.
Hakika wanajituma vilivyo.
Furaha na Tabasamu kwa watanzania imeanza kurudi.
kazi iendeleee mpaka 2030.
 
Hakika Nani Kama mama, hakika anaupiga mwingi! Pongezi kwako mama wetu mpedwa!! Mungu akupe na kukujalia kila lililo la kheri.!!

Ni hivi kwa wale watumishi wa umma, hebu chungulieni salary slip zenu hakika mtaona Kuna tofauti kubwa sana imefanywa na huyu Rais wa watu, yaani Kama una mkopo Bank Au Loan Board.

Chukua kiasi cha mkopo wa mwezi 12/2021 toa kiasi cha mkopo mwezi 1/2022. Utagundua kuwa umelipiwa Mara Mbili ya kiasi ambacho huwa unalipa kila Mwezi, hapa ni kwamba Kama mkopo wako ulitarajia utaisha mwezi wa pili ,basi mwezi huu umeshalipiwa, hivyo hudaiwi.

Sisi wafanyakazi wako tunaahidi kumuunga kwa kila unalolifanya, Samia Safi!!! Nani Kama mama????

# kazi iendelee!!
Wameongeza Tena... Jioni hii wameongeza kato la tatu. Wafanyakazi watanona !!!!!!!
 
Back
Top Bottom