Rais Samia afanya makubwa, wafanyakazi walipiwa mikopo yao

Rais Samia afanya makubwa, wafanyakazi walipiwa mikopo yao

Na bado nangoja msereko huyu mama anafaa tu adi 2040
Mama Samia Rais wetu mpendwa pamoja na Safu yake ya watendaji, tunawaombea wote Mungu awalindi.
Hakika wanajituma vilivyo.
Furaha na Tabasamu kwa watanzania imeanza kurudi.
kazi iendeleee mpaka 2030.
 
Mbona mimi makato ni yaleyale hakuna Cha double?. Au Kuna upendeleo fulani? Sukuma gang halituhusu hili?
 
Huyu mleta uzi kishatuambia kwa ufafanuzi wake na kuna waliomuunga mkono. Wanaompinga wakanushe kwa fact badala ya kumtukana na kumwita majina ya hovyo.
 
Back
Top Bottom