DingiMbishi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2021
- 449
- 647
Hata huo mwezi mmoja si haba Mkuu,we kuwekewa milioni ni mchezo unafikiri?Msipolipiwa mkopo mwezi ujao msije kulialia
Huyu mama ajengewe mnara kwa kweli,
Hajawahi kutokea kiongozi wa hivi tokea hii nchi iumbwe aiseeeee,
ALLAH azidi kumbariki na kumuongezea zaidi na zaidi na zaidi na zaidi na zaidiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Ulitaka afanye Nini mkuu ?? huyu ni rais hivyo Kuna baadhi ya safari haziepukiki,acheni kulalama,mbona hata enzi za magu mama alisafiri Sana tu akimuwakirisha JPM!!?Alafu yeye uyooo kaenda kutumia pesa France na Belgium
Umecheki salary slip leo?ni Haki yenu watumishi kurudishiwa tabasamu maana mlinuna na kunung'unila kwa kipindi mrefu sana.....huo ni mwanzo mzuri.
ZiPO Sawa tu kama JanuaryUmecheki salary slip leo?
Itakuwa wameweka sawaZiPO Sawa tu kama January
mimi ni mkulima wa maharagwe, wateja wangu wakubwa na Watumishi wa Seriklini, hivyo mambo yao yakiwa mazuri nami biashara inatoka.Umecheki salary slip leo?
Mama Samia Rais wetu mpendwa pamoja na Safu yake ya watendaji, tunawaombea wote Mungu awalindi.Hakika Nani Kama mama,hakika anaupiga mwingi! ,Pongezi kwako mama wetu mpedwa!! Mungu akupe na kukujalia kila lililo la kheri.!!
Ni hivi kwa wale watumishi wa umma,hebu chungulieni salary slip zenu hakika mtaona Kuna tofauti kubwa sana imefanywa na huyu rais wa watu ,yaani Kama una mkopo Bank Au Loan Board.
Chukua kiasi cha mkopo wa mwezi 12/2021 toa kiasi cha mkopo mwezi 1/2022. Utagundua kuwa umelipiwa Mara Mbili ya kiasi ambacho huwa unalipa kila Mwezi, hapa Ni kwamba Kama mkopo wako ulitarajia utaisha mwezi wa pili ,basi mwezi huu umeshalipiwa ,hivyo hudaiwi.
Sisi wafanyakazi wako tunaahidi kumuunga kwa kila unalolifanya ,Samia Safi!!!,Nani Kama mama????
# kazi iendelee!!
Kuna marekebisho yamefanyikaUmecheki salary slip leo?
Wameongeza Tena... Jioni hii wameongeza kato la tatu. Wafanyakazi watanona !!!!!!!Hakika Nani Kama mama, hakika anaupiga mwingi! Pongezi kwako mama wetu mpedwa!! Mungu akupe na kukujalia kila lililo la kheri.!!
Ni hivi kwa wale watumishi wa umma, hebu chungulieni salary slip zenu hakika mtaona Kuna tofauti kubwa sana imefanywa na huyu Rais wa watu, yaani Kama una mkopo Bank Au Loan Board.
Chukua kiasi cha mkopo wa mwezi 12/2021 toa kiasi cha mkopo mwezi 1/2022. Utagundua kuwa umelipiwa Mara Mbili ya kiasi ambacho huwa unalipa kila Mwezi, hapa ni kwamba Kama mkopo wako ulitarajia utaisha mwezi wa pili ,basi mwezi huu umeshalipiwa, hivyo hudaiwi.
Sisi wafanyakazi wako tunaahidi kumuunga kwa kila unalolifanya, Samia Safi!!! Nani Kama mama????
# kazi iendelee!!
Wameongeza Tena... Jioni hii wameongeza kato la tatu. Wafanyakazi watanona !!!!!!!