Mama Samia Rais wetu mpendwa pamoja na Safu yake ya watendaji, tunawaombea wote Mungu awalindi.
Hakika wanajituma vilivyo.
Furaha na Tabasamu kwa watanzania imeanza kurudi.
kazi iendeleee mpaka 2030.
Huyu mleta uzi kishatuambia kwa ufafanuzi wake na kuna waliomuunga mkono. Wanaompinga wakanushe kwa fact badala ya kumtukana na kumwita majina ya hovyo.