Matulanya Mputa
JF-Expert Member
- Aug 14, 2023
- 245
- 655
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Bi. Veronika Mueni Nduva, alipofika Ikulu, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 11 Novemba, 2024 ikiwa ni mara ya kwanza kukutana nae tangu Katibu Mkuu huyo aliposhika nafasi hiyo mwezi Juni, 2024.
My take
Raisi si boda boda au machinga muda wote awepo mtaani.
Alikuwa mapumziko madogo na yupo imara na kajiandaa na uchaguzi 2025
My take
Raisi si boda boda au machinga muda wote awepo mtaani.
Alikuwa mapumziko madogo na yupo imara na kajiandaa na uchaguzi 2025