Rais Samia afanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Afrika Mashariki

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Bi. Veronika Mueni Nduva, alipofika Ikulu, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 11 Novemba, 2024 ikiwa ni mara ya kwanza kukutana nae tangu Katibu Mkuu huyo aliposhika nafasi hiyo mwezi Juni, 2024.

My take

Raisi si boda boda au machinga muda wote awepo mtaani.
Alikuwa mapumziko madogo na yupo imara na kajiandaa na uchaguzi 2025

Wazushi wote wameumbuka 😁😁
 
Hata Dkt Magufuli ilianza hivi hivi mpaka akina akina Zitto wakawa wanafanya sherehe hahaha mpaka yeye mwenyewe Dkt Samia akawa anashangilia maana nakumbuka tukio la Mtwara basi Zitto ashadadia kweli kusema eti Dkt Magufuli kafa basi akawa anampongeza Dkt Samia na badala ya Dkt Samia kumkemea Zitto akakaa kimya na Zitto agenda yake ilikuwa nafasi aliamini akija Rais Muislamu basi atafurahi hahaha ila nimemsikia yupo kigoma anatishia uchawi hahaha
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Bi. Veronika Mueni Nduva, alipofika Ikulu, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 11 Novemba, 2024 ikiwa ni mara ya kwanza kukutana nae tangu Katibu Mkuu huyo aliposhika nafasi hiyo mwezi Juni, 2024.

My take

Raisi si boda boda au machinga muda wote awepo mtaani.
Alikuwa mapumziko madogo na yupo imara na kajiandaa na uchaguzi 2025

Alikuwa 'mapumziko madogo' na yupo imara na kajiandaa na uchaguzi 2025
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Bi. Veronika Mueni Nduva, alipofika Ikulu, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 11 Novemba, 2024 ikiwa ni mara ya kwanza kukutana nae tangu Katibu Mkuu huyo aliposhika nafasi hiyo mwezi Juni, 2024.

My take

Raisi si boda boda au machinga muda wote awepo mtaani.
Alikuwa mapumziko madogo na yupo imara na kajiandaa na uchaguzi 2025

Ninaona Madaktari wa Cuba wamejitahidi.
 
Halafu kuna hili kundi la akina Mdude_Nyagali, Martin Maranja Masese, Hilda Newton, Sativa chini ya Maria Sarungi walikuwa wamezusha habari za uchuro huko Twitter (siku hizi X).

Naye member tunayemuheshimu sana humu Mshana Jr akaingia mazima na kuandika thread yake kimafumbo. Huu hapa:

Wote tulizaliwa kwa wakati tofauti na wote tutakufa kila mtu kwa wakati wake. Kumchulia habari mbaya Rais wetu anayetenda mema kwa ajili yetu ni jambo la HOVYO sana

Wenzenu walitumia muda huo kujaza fomu kwa ufanisi kwa ajili ya uchaguzi wa S/ Mitaa wa Nov 27.
 
Kwa akili yako hata wakiluwekea clip wewe utabisha kwa vile tayari umekuwa mtumwa wa shetani
Mtumwa wa shetani namba moja hapa Tanzania ni member wa CCM !!Huyu ni agent wa shetani .Nina uhakika wewe ni mwiongoni mwa Damu ya Marehemu KIBAO inakulilia
 
Halafu kuna hili kundi la akina Mdude_Nyagali, Martin Maranja Masese, Hilda Newton, Sativa chini ya Maria Sarungi walikuwa wamezusha habari za uchuro huko Twitter (siku hizi X).

Naye member tunayemuheshimu sana humu Mshana Jr akaingia mazima na kuandika thread yake kimafumbo. Huu hapa:

Wote tulizaliwa kwa wakati tofauti na wote tutakufa kila mtu kwa wakati wake. Kumchulia habari mbaya Rais wetu anayetenda mema kwa ajili yetu ni jambo la HOVYO sana

Wenzenu walitumia muda huo kujaza fomu kwa ufanisi kwa ajili ya uchaguzi wa S/ Mitaa wa Nov 27.
Huo uzi wangu ulikuwa na shida gani kwani?
Je na huu mbona huuzungumzii?

Back
Top Bottom