Rais Samia afanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Afrika Mashariki

Hata leo 11/11/2024 Mama haonekani kwenye taarifa za habari. Kwanini hawamuonyeshi?
 
Hata leo 11/11/2024 Mama haonekani kwenye taarifa za habari. Kwanini hawamuonyeshi
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Bi. Veronika Mueni Nduva, alipofika Ikulu, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 11 Novemba, 2024 ikiwa ni mara ya kwanza kukutana nae tangu Katibu Mkuu huyo aliposhika nafasi hiyo mwezi Juni, 2024.

My take

Raisi si boda boda au machinga muda wote awepo mtaani.
Alikuwa mapumziko madogo na yupo imara na kajiandaa na uchaguzi 2025

Thanks Jesus
 
Kuna wavimba macho, yaani akina Maria Sarungi huko X wanaloloma eti Mama yupo Cuba hoi!
Screenshot_20241111_135947_X.jpg
Post Maria kabla hata haujapata taarifa kuwa amesharudi.
 
Wasiwe wanatoroka pindi waendapo garage na pia wakati wa kurejea wawe wanapokelewa pale KIWALANI hata na DC wa TEMEKE badala ya kuja kwa kujifichfpaficha utadhani akina sisi enzi zile tulipokuwa tukitoroka majukumu nyumbani na kwenda kusakata kabumbu na kuogelea ziwani,ukishituka ni saa 1 jioni na nyumbani uliachiwa jukumu la kufungua mbuzi.
 
Pamoja na unyama wanaotutendea ccm sijawahi kuwaombea Wafe (unaweza kuweka ushahidi ili kunipinga kama unao) lakini kila siku namuomba Mungu awanyang'anye madaraka na kutupa sisi ili waone tutakavyoongoza nchi kistaarabu bila kuteka , kuua na kumwagia tindikali yeyote .

Halafu huwa hamuelewi tu, kifo si adhabu inayoumiza mhusika, maana huwa anakufa tu na kuzikwa, lakini mtu anapaswa kuondolewa madarakani na kuachwa akiwa hai ili aone ujinga aliokuwa anafanya. Hakuna kitu kinauma kama hii

Jambo pekee linaloweza kukusaidieni mkishaua mtu ni kuwatisha walio hai, tena wanaotishika ni wale Wajinga, hii ni kwa sababu hakuna muuaji aliyefanikiwa kuua watu wote
Haya sawa🙂
 
Haya sawa🙂
Huwa unapenda sana kunizushia, mimi siyo mjinga na sikuja jf kuomba watu wafe, Wajifie wenyewe kwa mambo yao, msinihusishe mimi.

Mimi nipo hapa kuandika habari za siasa, Jaribuni kuniheshimu hata kama si mwanaccm mwenzenu
 
Ok.
 
Mmeenda kumtoa icu huko mtu hajapona ili muwaprove watu wrong[emoji23][emoji23]

Huyu mama ni mgonjwa angalia hata picha jicho la kushoto jekundu hapo anajikaza tu kisabuni

Hata ndugai alivyokatwa vidole vya miguu mlisema hivyo hivyo mkamvalisha viatu ili kuprove watu wrong

Mwendazake mlisema hivyo mkaenda kumtoa icu kuja kumuapisha Bashiru[emoji23]

Muda utaongea tu!!!
IMG-20241111-WA0001.jpeg
 
Rais ni nzm lakini macho mekundu na yamevimba[emoji23][emoji23]
IMG-20241111-WA0001.jpeg
 
Mmeenda kumtoa icu huko mtu hajapona ili muwaprove watu wrong[emoji23][emoji23]

Huyu mama ni mgonjwa angalia hata picha jicho la kushoto jekundu hapo anajikaza tu kisabuni

Hata ndugai alivyokatwa vidole vya miguu mlisema hivyo hivyo mkamvalisha viatu ili kuprove watu wrong

Mwendazake mlisema hivyo mkaenda kumtoa icu kuja kumuapisha Bashiru[emoji23]

Muda utaongea tu!!!View attachment 3149649
Mkuu!😳😳😷😷
 
Maelezo Yako yote yanaonyesha Rais bado yupo hai wenzio walisema ameshakufa au na wewe unaona huu ni mzimu?
 
Back
Top Bottom