jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Unawezakuta nyie ndo mmezusha ili kupata huruma kama mlivyozusha kwa Makonda kumpa mileage.Wazushi wote wameumbuka 😁😁
Naona mmenogewa mkuu.😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unawezakuta nyie ndo mmezusha ili kupata huruma kama mlivyozusha kwa Makonda kumpa mileage.Wazushi wote wameumbuka 😁😁
Walikuwa wanauliza? au walikuwa wanashangilia kutokana na walicho kuwa wanakiamini😆😆😆Ungekuja na hili Andiko lako Jana au juzi
Na watu Wana haki kumuulizia Rais wao,
Mbona hawajamuuliza Putin?
Acha uchawa
Nchi ina wapuuzi wengi sana ndio maana ccm wanatugeuza wanavyotaka. Bora wewe umesema huna cha kusema. Kuna watu wasomi kabisa wengine wanajiita PhD wameingia kwenye mtego wa wapuuzi wachache wa Taifa. Haya, agenda ya Uchaguzi ishaisha sasa ni mama kuonekana Ikulu. QuberView attachment 3149589
View attachment 3149590
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Veronika Mueni Nduva, alipofika Ikulu, Jijini Dar es Salaam leo November 11, 2024 ikiwa ni mara ya kwanza kukutana nae tangu Katibu Mkuu huyo aliposhika nafasi hiyo mwezi Juni, 2024.
Katika hatua nyingine Rais Samia amekutana na kufanya mazungumzo na Dkt. Tewodros Beleke Mkurugenzi wa Programu za Dunia na Mwakilishi wa Susan Buffet Foundation leo November 11, 2024 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
My Take
Kwa leo sina cha kusema
Ukiwa CCM huruhusiwi kuwa na hofu ya mwenyezi Mungu kbsKwanini ni muislamu safi lakini anaruhusu wizi wa kura? Pamoja na kufanya dhambi kwenye daftari la wapiga kura?
Pamoja na unyama wanaotutendea ccm sijawahi kuwaombea Wafe (unaweza kuweka ushahidi ili kunipinga kama unao) lakini kila siku namuomba Mungu awanyang'anye madaraka na kutupa sisi ili waone tutakavyoongoza nchi kistaarabu bila kuteka , kuua na kumwagia tindikali yeyote .Haswa Erythrocyte😁
Walikuwa wanauliza? au walikuwa wanashangilia kutokana na walicho kuwa wanakiamini😆😆😆
Kibao ndiyo nani?Mtumwa wa shetani namba moja hapa Tanzania ni member wa CCM !!Huyu ni agent wa shetani .Nina uhakika wewe ni mwiongoni mwa Damu ya Marehemu KIBAO inakulilia
Zote nyuzi zina msukumo wa kishetani ndani yakeHuo uzi wangu ulikuwa na shida gani kwani?
Je na huu mbona huuzungumzii?
Pre GE2025 - LGE2024 - Je, kuna matukio yanatengenezwa ili kuchepusha mijadala ya uchafuzi wa uchaguzi wa serikali za mitaa?
Hali ni mbaya sana kuelekea kwenye uchaguzi wao serikali za mitaa. Ukiachilia mbali kule kuchezea daftari la wapiga kura kwa: Kuongeza majina bbandia Kuongeza majina ya waliopotea Kuongeza majina ya wanafunzi Kuongeza majina ya marehemu na katika ujumla wake kughushi taarifa za hayo makundi...www.jamiiforums.com
Na wataanza wao kufa na huyo wanayemtakia mabaya Mungu ataendelea kumpa afya na nguvu ili atekeleze majukumu ya Taifa hiliHahahahahahahahaaaaaaahaaaaa!
Kuna mada ilianzishwa juzi, ikimuombea kifo Mama yetu.....? Mungu ni mwema wataendelea kungoja na kusubiri kwa wakati mmoja Huku wakiteseka vibaya maana wataendelea kukuona akishughulika na shughuli zake kama kawa
Waliokuwa wakimuulizia wameumbuka.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Bi. Veronika Mueni Nduva, alipofika Ikulu, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 11 Novemba, 2024 ikiwa ni mara ya kwanza kukutana nae tangu Katibu Mkuu huyo aliposhika nafasi hiyo mwezi Juni, 2024.
My take
Raisi si boda boda au machinga muda wote awepo mtaani.
Alikuwa mapumziko madogo na yupo imara na kajiandaa na uchaguzi 2025