Matulanya Mputa
JF-Expert Member
- Aug 14, 2023
- 245
- 655
Yupo imara ana chapa kazi, na asanteni kwa taarifa kama mnavyofanya siku zote! Ila mngemwambia Waziri Mkuu atuambie, tungemwelewa zaidi!Kwani kuna mtu alisema hayupo imara?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Bi. Veronika Mueni Nduva, alipofika Ikulu, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 11 Novemba, 2024 ikiwa ni mara ya kwanza kukutana nae tangu Katibu Mkuu huyo aliposhika nafasi hiyo mwezi Juni, 2024.
My take
Raisi si boda boda au machinga muda wote awepo mtaani.
Alikuwa mapumziko madogo na yupo imara na kajiandaa na uchaguzi 2025
Umemsahau TlaatlaahAfadhali amerudi.
Vifaranga akina Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable walishaanza kukubujisha machozi kwa kuachwa na mama yao.
Kuna wavimba macho, yaani akina Maria Sarungi huko X wanaloloma eti Mama yupo Cuba hoi!Kwani kuna mtu alisema hayupo imara?
Akikujibu nitagKwani kuna mtu alisema hayupo imara?
Mtwara ndio wanaripoti taarifa ya ikulu ya Dar? Hacha utoto basi.Habari imekaa kipashkuna sana