Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Hiyo pesa aliyoiacha jakaya nani aliikwiba sasa?Mama kaingizwa Chaka,2014 nzega tabora lami ipo(118km),hicho kipande (80km)alibakiza jakaya na pesa ya kumaliza aliacha,napita hiyo njia kila mwaka kwa miaka 22 iliyopita
Vilevile nafahamu katika wilaya hii kuna upungufu wa miundombinu katika shule za sekondari, ambapo kwa sasa kuna uhaba wa matundu ya vyoo 332, meza 707, viti 707, maabara 59 na nyumba za walimu 295. Serikali inafahamu hayo.
Si kazi iliendelea,na barabara ikakamilika,Mara ya mwisho kupita oktoba,ilikua lami mpaka manyoniHiyo pesa aliyoiacha jakaya nani aliikwiba sasa?
Mla mlaleo Mla jana kala nini?Hongera sana JPM.
We definitely miss you.
MkuuHiyo barabara ina umuhimu gani? I mean, inapitia sehemu gani kwa maana nasoma majina ya sehemu sijawahi kuyasikia Nyahua Chanya au labda inaunganisha Miji/Wilaya gani na urefu wa km ngapi kwa kukisia ili niweze angalau kuelewa kinachoendelea, Asante!
Safi,Mwaga mapesa mh.RaisRais Samia Suluhu ameagiza Mawaziri kusimamia fedha za UVIKO-19 ili ziweze kutumika vizuri kwa kuwa mwisho wa matumizi yake ni Juni 2022, kama hazitatumika kwa 90% basi fedha zijazo kwa ajili ya miradi hiyo hazitapatikana au zitapungua
-
Amesema "Bado nasoma kuna tenda zinacheleweshwa TAMISEMI, vitu vya kuagizwa vya Wizara ya Afya na Wizara ya Maji ziagizwe. Kuna tenda zinazungushwa, watu wanasubiri rushwa na wengine wamegewe kidogo"
-
Rais amefafanua "Kuna fedha zinasubiri tumalize kuzitumia hizi za sasa ili hizo nyingine ziingie. Tusipovuka 90% hatutapata nyingine au tutapata kidogo kwani itamaanisha uwezo wetu ni mdogo. Simamieni ili zilizopo kwenye bomba ziweze kutema muda ukifika"
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hela za uviko haziliki labda udokozi mdogo mdogo tuu usio na madhara makubwa..Watu wanatamani kuzila ila wanaogopa ndo maana wanachelewesha miradi ili kutafuta namna
Sio kwamba hawana matumizi ya pesa bali miradi bado haijamalizika maana ilichelewa kutangazwa..Ni wapi huko wasipo na matumizi ya pesa hadi wanasubiri kusukumwa kutumia? daah kwenye miti hapana wajenzi.......na ukute idara nyingine choka mbaya pesa hakuna.
Mkuu
Barbara kutokea Dodoma kwenda Tabora kupitia manyoni na itigi kwenda mpaka kigwa ndio ufike Tabora mjini ndio hiyo zamani mzunguko ulikuwa marefu Sana kufika Tabora!!!
Kufanya nini? Yaani nyie watu mna uelewa mdogo..Zielekezwe kwenye bwawa la umeme huko
Rais Samia Suluhu ameagiza Mawaziri kusimamia fedha za UVIKO-19 ili ziweze kutumika vizuri kwa kuwa mwisho wa matumizi yake ni Juni 2022, kama hazitatumika kwa 90% basi fedha zijazo kwa ajili ya miradi hiyo hazitapatikana au zitapungua...