Mpenzi mtazamaji wa TBC1, tunakatisha matangazo haya ili kujiunga na wenzetu waliopo Chattle kwenye matangazo ya moja kwa moja ambapo Rais Magufuli anaenda kuzindua barabara.
Leo nilikuwa napita kutoka Dar kwenda Kigoma nikiwa nimebeba 37000 litres ya Super Petrol nikieleka Kigoma nimekutana na Mama pale Tura akiupiga mwingi nikajisikia faraja sana
Njia ilifungwa nami nikajiegesha pembeni karibia masaa mawili lakini sikujali maadam Jinamizi limeshaondoka.