Rais Samia afanya uteuzi. Katibu Mkuu Kiongozi ahamisha Vigogo 5 TANESCO

Rais Samia afanya uteuzi. Katibu Mkuu Kiongozi ahamisha Vigogo 5 TANESCO

Ofisi Nzima Pale Ikulu Wamejaa Waislamu Tu
Rais _ Muislam
CS - Muislam
Km Ofsi Ya Rais Ikulu ni Muslam
Chief of Protocol ni Muislam
Wasaidizi wa Rais 8 pale Ikulu 6 ni waislam na 2 ndio Wakristo
Mkuu tupo pamoja......huyo ndio Rais Samia...zingine zote kelele tu...huu ndio mwingi anaoupiga sasa..
 
Nani alikua less qualifued wakati Magu alikua anateua maprofesa tu, ama na hao ni less qualifued?

Hii ya kusema Magufuli aliteua wote kanda ya ziwa ni uongo pia. Magufuli anawwza kusemwa kwa mambo mengine mabaya ila sio ya ukabila. Hii ni kampeni ilianzishwa na watu wa kaskazini hasa wachaga kumchafua Magufuli ila haikua kweli.
Kateua wengi based kanda ya ziwa hata waliokuwa less qualified and no one questioned about it, so sioni shida kulaumu teuzi hizi mpya
 
U yo jamaa alietoka Multichoice yuko vizur sana.

Tanesco wameula[emoji106]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Not so much, alipokuwa Hod IT&billing Vodacom alibagua watu kutokana na vyuo walivyosoma. Hupati kazi km hujasoma Udsm. Huyu ndo alikuwa Mzee wa kile kikundi Cha kubadirisha matokeo ya Lowassa kikiwa chini ya Januari Makamba. Sasa wamerudi tena dimbani
 
Ofisi Nzima Pale Ikulu Wamejaa Waislamu Tu
Rais _ Muislam
CS - Muislam
Km Ofsi Ya Rais Ikulu ni Muslam
Chief of Protocol ni Muislam
Wasaidizi wa Rais 8 pale Ikulu 6 ni waislam na 2 ndio Wakristo

Kweli kabisa wacha wajae tu at least huwezi kusikia kashfa na wizi ule wa escrow na EPA na wengine kugawana pesa mpaka kwa viongozi wakubwa wa dini yako hiyo

Umejaza server kwa mambo ya hovyo sana

Acha discrimination against Islam
Hautafaidi kitu
Ukweli unajulikana ni nani wamekula keki ya nchi kwa miaka tena bila aibu

Utakufa na roho mbaya
 
Ofisi Nzima Pale Ikulu Wamejaa Waislamu Tu
Rais _ Muislam
CS - Muislam
Km Ofsi Ya Rais Ikulu ni Muslam
Chief of Protocol ni Muislam
Wasaidizi wa Rais 8 pale Ikulu 6 ni waislam na 2 ndio Wakristo
Kuna ubaya gani Kama kazi wanafanya na hawatuteki?
Mbona Magu alijaza wasukuma wakawa wanatuteka na kutulazimisha tuwaabudu?

Mkristo akiwa na roho mbaya ana tofauti gani na Muslims mwenye roho mbaya?
 
Back
Top Bottom