Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Kwamba walioondolewa hapo wote ni wasukuma ama jiwe aliteua wasukuma kila idara?Mbona jiwe akichagua kabila lake hamukuongea hvo.?
Mkuu tupo pamoja......huyo ndio Rais Samia...zingine zote kelele tu...huu ndio mwingi anaoupiga sasa..Ofisi Nzima Pale Ikulu Wamejaa Waislamu Tu
Rais _ Muislam
CS - Muislam
Km Ofsi Ya Rais Ikulu ni Muslam
Chief of Protocol ni Muislam
Wasaidizi wa Rais 8 pale Ikulu 6 ni waislam na 2 ndio Wakristo
Kateua wengi based kanda ya ziwa hata waliokuwa less qualified and no one questioned about it, so sioni shida kulaumu teuzi hizi mpyaKwamba walioondolewa hapo wote ni wasukuma ama jiwe aliteua wasukuma kila idara?
Huu ni uongo wa wazi na unatumiwa na watu wasio na akili pekee.
Mkuu upo sahii kabisa. Sura zile zile zilizokuwa bench zinarudi kwa namna nyingine.Huu uteuzi kaufanya Bw. Jan, hapo SSH jina lake limetumika tu. Wengi hapo ni marafiki wa Jan.
Ehh okkkkU yo jamaa alietoka Multichoice yuko vizur sana.
Tanesco wameula[emoji106]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kateua wengi based kanda ya ziwa hata waliokuwa less qualified and no one questioned about it, so sioni shida kulaumu teuzi hizi mpya
Viongozi wa juu wa Tanesco, Rea , tpds wote walitokea Kanda ya ziwa Sasa ni kusafisha
Not so much, alipokuwa Hod IT&billing Vodacom alibagua watu kutokana na vyuo walivyosoma. Hupati kazi km hujasoma Udsm. Huyu ndo alikuwa Mzee wa kile kikundi Cha kubadirisha matokeo ya Lowassa kikiwa chini ya Januari Makamba. Sasa wamerudi tena dimbaniU yo jamaa alietoka Multichoice yuko vizur sana.
Tanesco wameula[emoji106]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ofisi Nzima Pale Ikulu Wamejaa Waislamu Tu
Rais _ Muislam
CS - Muislam
Km Ofsi Ya Rais Ikulu ni Muslam
Chief of Protocol ni Muislam
Wasaidizi wa Rais 8 pale Ikulu 6 ni waislam na 2 ndio Wakristo
Huyo alipewa kwasababu ameoa mdogo wake na mke wa magufuliMwinuka anatoka Iringa
Ehh okkkk
Ova
Kuna ubaya gani Kama kazi wanafanya na hawatuteki?Ofisi Nzima Pale Ikulu Wamejaa Waislamu Tu
Rais _ Muislam
CS - Muislam
Km Ofsi Ya Rais Ikulu ni Muslam
Chief of Protocol ni Muislam
Wasaidizi wa Rais 8 pale Ikulu 6 ni waislam na 2 ndio Wakristo
HahahaUmesahau wabongo kwa kusifia mwanzo mwanzo
Utasikia"the guy is very smart"Umesahau wabongo kwa kusifia mwanzo mwanzo
Inauma eehhh.Islamic State
Wewe ulitakaje, awe Paulo au James.Kudadeki...
Mbona Majina yamekee kama Dini Moja hivi? Au mawazo yangu tuu?
Hapo ni Makamba tu ameamua asafishe nyumba ajimwaemwae na mikataba.
Dada mwanvita kule South atashaini hatari