Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Magufuli alihangaika kuwamiminia risasi wakina Lissu wakti msaliti na mpinzani nguli alikuwa msadizi wake mkuu kikatibaMagufuli hakuwa na chuki na watu bali utendaji wabovu na wala rushwa
Huyu jamaa Mramba ni Inner cycle ya ule mfumo mbovu uliotumbuliwa,
so naona jitihada za kuendelea kurudisha kale ka 'system' kanaendelea